-
Ushahidi mpya unaothibitisha uhusiano wa karibu wa Marekani na magaidi wa ISIS
Apr 09, 2021 11:06Marekani ina nafasi kubwa ya kuzuka na kupata nguvu magenge ya kigaidi hususan genge la kigaidi la Daesh (ISIS) hasa katika nchi za Kiislamu za Iraq na Syria. Sasa hivi ushahidi mpya umetolewa unaozidi kufichua uhusiano wa karibu sana baina ya Marekani na magaidi hao makatili.
-
Maghala makubwa ya silaha za magaidi yapatikana katika mikoa mitatu ya Iraq
Mar 28, 2021 07:56Maafisa usalama wa Iraq wamefanikiwa kugundua maghala ya silaha za magaidi wa Daesh (ISIS) katika mikoa mitatu ya kaskazini na mashariki nchi hiyo.
-
Chinjachinja wa Daesh atiwa mbaroni huko Talafar, Iraq
Mar 10, 2021 02:48Idara ya Intelijinisia ya jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kinara mashuhuri wa magaidiwa kundi la kitakfiri la Daesh anayefahamika kwa jina la Cihnjachinja huko Talafar nchini humo.
-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 11:00Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
-
'Kulifufua genge la kigaidi la Daesh ndilo lengo la kiistratijia la Marekani'
Feb 26, 2021 02:50Mbunge wa zamani wa Lebanon amesisitiza kuwa, suala la kulifufua genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndilo lengo la kiistratijia la Marekani kwani inaamini kwamba genge hilo ni turufu ya kufanikisha malengo yake haramu katika eneo hili.
-
Jumuiya ya Maulamaa Iraq: Mossad inaongoza kambi za magaidi wa Daesh huko Syria
Feb 24, 2021 02:42Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu katika mkoa wa Diyala huko Iraq amesema kuwa shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) linasimamia kambi mbalimbali za magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh huko Syria.
-
Mfadhili mkuu wa kifedha wa Daesh atiwa mbaroni mkoani Diyala, Iraq
Feb 20, 2021 08:05Idara ya Intelijinsia ya Jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni mfadhili mkuu wa kifedha wa kundi la Daesh mkoani Diyala mashariki mwa nchi hiyo.
-
Vita ya Maʼrib, muungano wa Saudi Arabia na Daesh na jitihada za kukimbia kinamasi cha Yemen
Feb 20, 2021 02:55Sambamba na kuendelea kusonga mbele wapiganaji wa makundi ya kujitolea ya Yemen kuelekea Maʼrib, Saudi Arabia imeamua kutuma askari wa ziada nchini Yemen na kutumia wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh huku nchi za Kiarabi zikifanya juhudi kubwa za kidiplomasia za kuzuia fedheha na kushindwa Riyadh na waitifaki wake katika kinamasi cha Yemen.
-
DAESH (ISIS) yakiri kuwa inapigana bega kwa bega na Saudia katika vita dhidi ya Yemen
Feb 19, 2021 02:23Kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) limetangaza kuwa linashiriki katika operesheni ya kijeshi na vita dhidi ya harakati ya Ansarullah ya Yemen katika eneo la Ma'rib.
-
Tishio la kurejea upya kundi la Daesh huko Iraq
Feb 09, 2021 02:28Harakati za kundi la Daesh na pia mapigano kati ya kundi la Hashdu Shaabi la Iraq na masalia ya kundi hilo la kigaidi yameongezeka nchini humo katika miezi ya karibuni.