-
Makao ya uongozi mpya wa Daesh huko al Anbar yasambaratishwa
Jan 29, 2021 02:06Wapiganaji wa Harakati ya Hashdu Shaabi ya Iraq wamesambaratisha makao ya uongozi wa kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la jangwani katika mkoa wa al Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Sababu za kuongezeka mashambulio ya kigaidi ya ISIS nchini Iraq
Jan 25, 2021 23:38Jana Jumatatu, Januari 25, 2021, Brigedia Jenerali Yahya Rasoul, msemaji wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iraq alizungumzia ushahidi mpya uliopatikana kuhusu mashambulio ya hivi karibuni ya mjini Baghdad na kusema kuwa, hadi hivi sasa vikosi vya usalama vya Iraq vimefanikiwa kuzima majaribio kadhaa makubwa ya kujiripua kwa mabomu katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Shambulio la DAESH dhidi ya Al-Hashdu-Sha'abi lilifanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani
Jan 24, 2021 13:52Chombo kimoja cha habari nchini Iraq kimetangaza kuwa, shambulio la magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) dhidi ya wapiganaji wa Al-Hashdu-Sha'abi katika mkoa wa Salahuddin limefanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani.
-
Madai ya Pakistan dhidi ya India ya kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh
Jan 13, 2021 03:00Waziri Mkuu wa Pakistan amedai kuwa, India imekuwa ikivuruga amani na usalama wa Pakistan kutokana na hatua zake za kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh.
-
Khatibzadeh: Jamii ya kimataifa iwe macho mbele ya kuenea upya fikra za Daesh
Dec 11, 2020 13:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma pongezi kwa serikali ya wananchi wa Iraq katika maadhimisho yao ya mwaka wa tatu tangu kusambaratishwa genge la kigaidi na ukufurishaji la Desh (ISIS) nchini humo na kuitaka jamii ya kimataifa iwe macho mbele ya kuenea upya fikra za Kidaesh duniani.
-
Hashdu Sha'abi yaanza oparesheni mpya dhidi ya masalia ya Daesh mkoani Salahuddin, Iraq
Dec 10, 2020 12:12Sambamba na kumbukumbu ya kutimia mwaka wa tatu tangu Iraq ipate ushidni dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo; vikosi vya Harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq Hashdu Sha'abi vimeanza oparesheni mpya katika mkoa wa Salahuddin mashariki mwa Iraq. Lengo la oparesheni hiyo mpya ni kuwasaka mabaki ya mamluki wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Imarati na Israel zashirikiana kurejesha magaidi kusini mwa Syria
Nov 13, 2020 01:36Vyombo vya usalama vimefichua kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umetuma ujumbe wa taasisi za upelelezi na ujasusi huko Israel kwa ajili ya kuchunguza mpango wa kurejesha makundi ya kigaidi katika miji ya kusini mwa Syria inayopakana na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni za Palestina.
-
Magaidi 5 wa Daesh watiwa mbaroni katika mkoa wa Salahuddin Iraq
Oct 20, 2020 12:11Askari jeshi wa Iraq wamewatia mbarono magaidi watano wa kundi la kitakfiri la Daesh katika oparesheni waliyoifanya katika mkoa wa Salahuddin nchini humo.
-
Waislamu wafukuzwa Ufaransa kwa kisingizio cha kupambana na misimamo mikali
Oct 20, 2020 02:29Mwenendo wa kuenezwa chuki na kejeli dhidi ya itikadi za Kiislamu umekuwa ukiongezeka kwa kasi kubwa nchini Ufaransa katika miaka ya karibuni.
-
Viongozi wawili wakuu wa Daesh watiwa mbaroni kaskazini mwa Iraq
Oct 15, 2020 04:25Vyombo vya usalama vya Iraq vimetangaza taarifa ya kutiwa mbaroni makamanda wawili wakuu wa kundi la kigaidi la Daesh katika mikoa ya Kirkuk na Salahuddin.