• Rouhani: Mwisho wa serikali ya Trump umeonyesha ubabe hauna mwisho mwema

    Rouhani: Mwisho wa serikali ya Trump umeonyesha ubabe hauna mwisho mwema

    Jan 13, 2021 14:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufedheheka na kuaibika utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake za mwisho ni ishara kuwa, ubaguzi wa rangi na ukiukwaji sheria ni mambo ambayo hayana mwisho mwema.

  • Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba

    Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba

    Jan 13, 2021 10:30

    Ikiwa ni katika kudumisha siasa zake za uhasama dhidi ya serikali za mrengo wa kushoto katika eneo la Amerika ya Latini, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine imelirejesha jina la Cuba katika orodha ya nchi zinazodaiwa kuunga mkono ugaidi.

  • Benki ya Deutsche ya Ujerumani kufunga akaunti za Donald Trump

    Benki ya Deutsche ya Ujerumani kufunga akaunti za Donald Trump

    Jan 12, 2021 13:00

    Benki kubwa ya Deutshe nchini Ujerumai imetangaza kuwa itazifunga akaunti za Rais wa Marekani Donald Trump kufuatia matukio yaliyojiri karibui katika Kongresi ya Marekani.

  • Mgogoro wa usalama nchini Marekani

    Mgogoro wa usalama nchini Marekani

    Jan 12, 2021 12:30

    Uvamizi uliofanywa na wafuasi wa Donald Trump dhidi ya jingo la Kongresi ya Marekani Januari sita mwezi huu na tishio la kuendelea vitendo kama hivi vya utumiaji mabavu sambamba na kujiuzulu maafisa wa usalama wa nchi hiyo, ni mambo ambayo yameifanya Marekani ikabiliwe na mgogoro wa usalama wakati huu wa kukaribia hafla ya kuapishwa rais mteule wa nchi hiyo Joe Biden.

  • Kuanza mwenendo wa kusailiwa Trump

    Kuanza mwenendo wa kusailiwa Trump

    Jan 11, 2021 13:11

    Hujuma ya tarehe 6 mwezi huu ya wakereketwa na wafuasi sugu wa Rais Donald Trump katika Congress ya Marekani imezua radiamali kali katika nchi hiyo na sasa Wamarekani wanataka rais huyo achukuliwe hatua za kisheria, na tayari Wademokrat wameanzisha mwenendo wa kusailiwa kwake bungeni.

  • Wazayuni waongeza kasi ujenzi wa vitongoji vya walowezi siku za mwisho za Trump madarakani

    Wazayuni waongeza kasi ujenzi wa vitongoji vya walowezi siku za mwisho za Trump madarakani

    Jan 11, 2021 08:02

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, katika siku hizi za mwisho za kukata roho serikali ya Donald Trump huko Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel umeongeza maradufu kasi ya kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi ulizowapora Wapalestina.

  • Pence abariki mchakato wa kuuzuliwa Trump

    Pence abariki mchakato wa kuuzuliwa Trump

    Jan 10, 2021 08:43

    Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amesema kuwa kuna uwezekana kutumia kifungu cha 25 cha Katiba kwa ajili ya kumuuzulu Rais Donald Trump.

  • Akthari ya Wamarekani wanataka Trump aondolewe madarakani haraka

    Akthari ya Wamarekani wanataka Trump aondolewe madarakani haraka

    Jan 09, 2021 12:54

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa, baada ya jengo la Kongresi kushambuliwa na kuvamiwa na wafuasi wa Rais Donald Trump, Wamarekani wengi wanataka kiongozi huyo aondolewe madarakani haraka.

  • Nasrallah: Wamarekani wamefahamu hatari ya Trump, yeye ni mfano halisi wa uistikbari

    Nasrallah: Wamarekani wamefahamu hatari ya Trump, yeye ni mfano halisi wa uistikbari

    Jan 09, 2021 02:56

    Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio ya hivi karibuni katika Bunge la Congress nchini Marekani yamepelekea Wamarekani wafahamu hatari ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump. Aidha amesema matukio hayo ni mfano halisi na wa wazi wa ubeberu na uistikbari wa Marekani.

  • Zarif akosoa undumakuwili wa Wamagharibi mkabala wa mienendo ya Trump

    Zarif akosoa undumakuwili wa Wamagharibi mkabala wa mienendo ya Trump

    Jan 09, 2021 02:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali undumakuwili wa nchi za Magharibi ambazo hivi sasa zinakosoa mienendo ya kukanyaga utawala wa sheria ya Rais Donald Trump wa Marekani, licha ya kufuata kibubusa sera zake za kibeberu katika kipindi cha miaka minne iliyopita.