-
Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani
Dec 26, 2020 02:39Matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran baada ya kuituhumu Tehran kwamba, ilihusika katika mashambulio ya hivi karibuni ya maroketi dhidi ya ubalozi wa Wsahington mjini Baghdad, yamekabiliwa na radiamali kali ya taifa hili.
-
Msamaha wa Trump kwa watenda jinai za kivita wa Black Water; kuzifanya hazina thamani roho na maisha ya raia wasio Wamarekani
Dec 24, 2020 11:00Rais Donald Trump wa Marekani ambaye yuko kwenye siku za mwishomwisho za uongozi wake, ametoa msamaha kwa baadhi ya wahalifu wa kisiasa na watenda jinai za kivita.
-
Zarif amshambulia Trump kwa kuihusisha Iran na mashambulio ya Iraq
Dec 24, 2020 08:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemjia juu Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameituhumu Tehran kuwa imehusika na mashambulio ya maroketi dhidi ya ubalozi wa US mjini Baghdad, Iraq.
-
Rouhani: Hatima ya Trump haitakuwa bora kuliko ya dikteta Saddam
Dec 23, 2020 12:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatima ya Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump haitakuwa bora kuliko ya dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein.
-
Kuanza kuondoka askari wa jeshi la Marekani nchini Somalia; kujipanga upya kijeshi Washington barani Afrika
Dec 21, 2020 13:45Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Somalia kwa madhumuni ya kuwapeleka katika vituo vyake vingine mashariki mwa Afrika.
-
Trump atafakari kutumia jeshi kubatilisha matokeo ya uchaguzi
Dec 20, 2020 07:06Rais Donald Trump wa Marekani amefanya mashauriano na wapambe wake kuhusu uwezekano wa kutumia jeshi kubatilisha matokeo ya uchaguzi.
-
Ushindi wa Biden katika uchaguzi wa rais Marekani waidhinishwa na Wajumbe wa Uchaguzi
Dec 16, 2020 11:07Hatimaye, baada ya wiki kadhaa za mvutano wa kisiasa na kisheria nchini Marekani, Wajumbe wa Uchaguzi (Electoral College) wamempigia kura kwa wingi mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden na hivyo sasa atakuwa rais wa Marekani.
-
Trump: Biden hatakuwa rais halali
Dec 14, 2020 06:53Ikiwa ni katika kuendeleza propaganda zake za kutilia shaka matokeo ya uchaguzi wa rais wa mwaka huu nchini Marekani na kujaribu kufunika fedheha ya kushindwa kwake katika uchaguzi huo, Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba Joe Biden aliyeshinda uchaguzi huo hatakuwa rais halali wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais
Dec 13, 2020 10:48Baada ya kupita zaidi ya siku 40 tokea ufanyike uchaguzi wa rais nchini Marekani, Rais Donald Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican amekuwa akitaka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kuwa mshindani wake wa chama cha upinzani cha Democrat Joe Biden ameshinda, yabatilishwe. Trump hadi sasa amekataa kukubali kushindwa.
-
Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 12, 2020 11:36Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.