-
Ushindi wa Biden katika uchaguzi wa rais Marekani waidhinishwa na Wajumbe wa Uchaguzi
Dec 16, 2020 07:37Hatimaye, baada ya wiki kadhaa za mvutano wa kisiasa na kisheria nchini Marekani, Wajumbe wa Uchaguzi (Electoral College) wamempigia kura kwa wingi mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden na hivyo sasa atakuwa rais wa Marekani.
-
Trump: Biden hatakuwa rais halali
Dec 14, 2020 03:23Ikiwa ni katika kuendeleza propaganda zake za kutilia shaka matokeo ya uchaguzi wa rais wa mwaka huu nchini Marekani na kujaribu kufunika fedheha ya kushindwa kwake katika uchaguzi huo, Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba Joe Biden aliyeshinda uchaguzi huo hatakuwa rais halali wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais
Dec 13, 2020 07:18Baada ya kupita zaidi ya siku 40 tokea ufanyike uchaguzi wa rais nchini Marekani, Rais Donald Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican amekuwa akitaka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kuwa mshindani wake wa chama cha upinzani cha Democrat Joe Biden ameshinda, yabatilishwe. Trump hadi sasa amekataa kukubali kushindwa.
-
Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 12, 2020 08:06Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.
-
Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati
Dec 10, 2020 23:26Marekani daima imekuwa ikitumia porojo kulioonesha eneo la Asia Magharibi kwamba, linakabiliwa na ukosefu wa amani na kueneza chuki dhidi ya Iran sambamba na kuionyesa mbele ya macho ya mataifa ya eneo hili kwamba, ni tishio ili kwa njia hiyo ijiandalie uwanja wa kuziuzia silaha nchi za Ukanda wa kusini mwa Ghuba ya Uajemi.
-
Rais Rouhani: Trump anaondoka na ndoto zake za kufikisha mauzo ya mafuta ya Iran kiwango cha sifuri
Dec 06, 2020 08:24Rais Hassan Rouhani ameashiria vizingiti mbalimbali vya vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya mauzo ya mafuta na bidhaa za petrokemikali za Iran na kusema kuwa, Rais Donald Trump ameshindwa kutekeleza tumaini lake la kutaka mauzo ya mafuta ya Iran yafikie kiwango cha sifuri na sasa ataondoka madarakani pamoja na tarajio lake hilo.
-
Malengo ya madai na harakati dhidi ya Iran za pande tatu za Trump, Netanyahu na bin Salman
Nov 28, 2020 22:00Baada ya kubainika kushindwa Donald Trump katika uchaguzi wa rais nchini Marekani, kumejiri harakati na kutolewa matamshi mbalimbali; na baadhi ya vyombo vya habari vimetangaza juu ya uwezekano wa Marekani na Israel kuishambulia kijeshi Iran.
-
Trump athibitisha kuhusika Mossad katika mauaji ya shahidi Fakhrizadeh
Nov 28, 2020 04:16Hatua ya rais wa Marekani ya kuusambaza ujumbe ulioandikwa na mwandishi mmoja wa habari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imethibitisha kwa njia isiyo ya moja kwa moja kuhusika utawala huo katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran.
-
Rais Rouhani: Serikali ijayo ya Marekani ifidie makosa yaliyotangulia
Nov 25, 2020 08:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ushindi wa wananchi wa Iran na kushindwa adui katika vita vyake vya kiuchumi dhidi ya taifa hili na kueleza kwamba, serikali ijayo ya Marekani inapaswa kulaani waziwazi sera na hatua zisizo za kibinadamu na kigaidi za Donald Trump na ifidie siasa hizo zisizo sahihi.
-
Hatimaye Trump amekubali kumkabidhi madaraka Joe Biden
Nov 24, 2020 03:46Baada ya kukataa kwa muda mrefu, hatimaye rais wa Marekani, Donald Trump amekubali kukabidhi madaraka kwa rais mteule wa nchi hiyo Joe Biden, suala ambalo linahesabiwa ni kukiri kushindwa Trump katika uchaguzi wa rais wa Novemba 3, 2020.