-
Sharti la kumfanya Trump akubali kuwa ameshindwa katika uchaguzi lawekwa hadharani
Nov 22, 2020 00:42Mjumbe wa jopo la washauri wa rais wa Marekani ametangaza kuwa, Donald Trump atakubali ameshindwa katika uchaguzi wa rais endapo matokeo ya uchaguzi huo yataidhinishwa na Mahakama Kuu ya Serikali Kuu ya nchi hiyo.
-
Juhudi za Trump za kutaka kubadilisha matokeo ya uchaguzi wa Marekani
Nov 21, 2020 23:12Hata baada ya kupita wiki mbili tokea ufanyike uchaguzi mkuu wa rais wa Marekani na matokeo yake kutangazwa, lakini bado Rais Donald Trump wa nchi hiyo anafanya juhudi kubwa za kubadilisha matokeo hayo.
-
Kuongezeka nguvu ya kiulinzi ya Iran katika kivuli cha mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani
Nov 21, 2020 07:06Siasa imara na za busara za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mkabala na Marekani zimepelekea siasa laini na ngumu za Washington kukabiliwa na changamoto kubwa.
-
Trump amfuta kazi afisa wa ngazi za juu aliyesema uchaguzi haukua na doa
Nov 18, 2020 07:03Rais Donald Trump aliyebwagwa katika uchaguzi wa rais wa Marekani uliofanyika mapema mwezi huu amempiga kalamu nyekundu Mkurugenzi wa Wakala wa Usalama wa Mitandao na Miundomsingi wa nchi hiyo, kwa kutoa kauli iliyomghadhabisha kiongozi huyo kuhusu uchaguzi.
-
Hitilafu katika kambi ya Warepublican kuhusu kuondolewa askari wa Marekani Asia Magharibi
Nov 17, 2020 22:53Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuondolewa askari wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi hususan Afghanistan na Iraq ambao unatarajiwa kutangazwa katika siku za usoni na iliyokuwa moja ya ahadi muhimu za Trump umekabiliwa na upinzani mkali wa chama chake cha Repulican katika Kongresi ya nchi hiyo.
-
Uamuzi wa Trump wa kuitaja Ansarullah ya Yemen kuwa kundi la kigaidi
Nov 17, 2020 08:49Kinyume na maoni ya mashirika ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu, Rais Donald Trump wa Marekani ameazimia kuliweka kundi la Kiislamu la Ansarullah ya Yemen katika orodha ya nchi hiyo ya makundi ya kigaidi.
-
Kukiri Obama kwamba jamii ya Marekani ina mpasuko na mgawanyiko wa kambi mbili
Nov 17, 2020 04:00Mgogoro wa kisiasa ambao haujawahi kushuhudiwa, unaoendelea hivi sasa ndani ya Marekani, ambao umetokana na rais wa nchi hiyo Donald Trump aliyegombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican kukataa kwamba ameshindwa katika kinyang'anyiro hicho cha 2020 na Joe Biden aliyegombea kwa tiketi ya chama cha Democratic, umepelekea kutolewa tahadhari na indhari kubwa juu ya hatari ya kugawanyika nchi hiyo.
-
CNN: Donald Trump ni sawa na Adolf Hitler
Nov 15, 2020 23:04Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa, hatua na mienendo ya rais wa sasa wa nchi hiyo, Donald Trump katika kipindi cha miaka minne iliyopita inafanana na ya watawala wa zamani wa Ujerumani ya Manazi.
-
Mapigano baina ya wapinzani na waungaji mkono wa Trump mjini Washington
Nov 15, 2020 07:55Maandamano ya wafuasi na waungaji mkono wa Rais Donald Trump wa Marekani wanaopinga matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika tarehe 3 mwezi huu wa Novemba yameufanya mji wa Washington kuwa uwanja wa mapaigano baina ya wafuasi na wapinzani wa kiongozi huyo.
-
Ghalibaf: Kasi ya kuporomoka Marekani imeongezeka
Nov 15, 2020 04:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, matukio yaliyoambatana na uchaguzi wa Marekani yamezidi kuporomosha itibari ya nchi hiyo na kuongeza kasi ya kuporomoka mfumo wa kibeberu wa Marekani.