• Njama za Trump za kuficha sera za Marekani dhidi ya Iran

    Njama za Trump za kuficha sera za Marekani dhidi ya Iran

    Mar 02, 2020 07:29

    Baada ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA mwezi Mei 2018, ilianzisha sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran; na katika fremu hiyo ikaiwekea Iran vikwazo vikali kabisa hata katika uga wa masuala ya kibinadamu. Pamoja na kuwepo sera hiyo ya White House, hivi sasa rais afriti wa Marekani anajifanya mtu mwenye kuwahurumia wananchi wa Iran na kudai eti yuko tayari kuisaidia Iran.

  • Trump asema virusi vya Corona ni hadaa na njama chafu za Wademocrats

    Trump asema virusi vya Corona ni hadaa na njama chafu za Wademocrats

    Feb 29, 2020 10:13

    Rais Donald Trump wa Marekani amewashambulia viongozi wa chama cha Democratic ambao wametilia shaka uwezo na utayarifu wa serikali yake katika kukabiliana na maambukizi ya virusi hatari vya Corona nchini humo.

  • Sanders: Msimamo wa Trump kuhusu virusi vya Corona ni hatari sana, unapotosha

    Sanders: Msimamo wa Trump kuhusu virusi vya Corona ni hatari sana, unapotosha

    Feb 28, 2020 23:13

    Seneta maarufu wa Marekani na mgombea mtarajiwa wa kiti cha rais wa nchi hiyo, Bernie Sanders amekosoa vikali msimamo wa serikali ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuhusiana na maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo akisema kuwa haufai, unapotosha ni hatari sana.

  • Trump na Netanyahu wafunguliwa mashtaka ya kuhusika na jinai dhidi ya binadamu

    Trump na Netanyahu wafunguliwa mashtaka ya kuhusika na jinai dhidi ya binadamu

    Feb 28, 2020 04:24

    Raia kadhaa wa Marekani na Palestina wamefungua mashtaka dhidi ya viongozi wa Marekani na Israel ya 'kuunga mkono na kuhamasisha utendaji jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu' katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kumalizika ziara ya Trump nchini India

    Kumalizika ziara ya Trump nchini India

    Feb 27, 2020 04:38

    Ziara ya siku mbili ya Rais Donald Trump wa Marekani huko India imemalizika katika hali ambayo hakujatangazwa habari yoyote kuhusu kufikiwa mapatano makubwa ya kibiashara kati ya nchi mbili hizo.

  • Zarif: Trump amekiri kuwa Iran inalichukia kundi la ISIS

    Zarif: Trump amekiri kuwa Iran inalichukia kundi la ISIS

    Feb 26, 2020 04:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kuwa askari wa Marekani wako nchini Syria kwa ajili ya kupora mafuta ya nchi hiyo na kwamba Iran inalichukia kundi la kigaidi la ISIS.

  • Hillary Clinton: Rais Trump ni hatari kwa demokrasia ya Marekani

    Hillary Clinton: Rais Trump ni hatari kwa demokrasia ya Marekani

    Feb 25, 2020 04:32

    Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kama mtu hatari kwa demokrasia na kusisitiza kuwa, yuko tayari kumuunga mgombea yoyote atakayechuana na mwanasiasa huyo wa Republican katika uchaguzi ujao nchini humo.

  • Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya

    Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya "Muamala wa Karne"

    Feb 24, 2020 08:52

    Ikiwa haujapita mwezi mmoja sasa tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipozindua rasmi mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne", utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha duru mpya ya vita na mashambulizi dhidi ya makundi na harakati za kupigania ukombozi za Palestina.

  • Donald Trump akaribishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini India

    Donald Trump akaribishwa kwa maandamano ya maelfu ya watu nchini India

    Feb 24, 2020 04:47

    Rais Donald Trump wa Marekani amekaribishwa nchini India kwa maandamano ya maelfu ya watu wanaopiga nara dhidi ya kiongozi huyo na siasa zake za kibaguzi na kijuba.

  • Trump apatwa na hasira kali baada ya maseneta wa Democrat kukutana na Javad Zarif

    Trump apatwa na hasira kali baada ya maseneta wa Democrat kukutana na Javad Zarif

    Feb 20, 2020 01:04

    Rais Donald Trump wa Marekani amekasirishwa mno na kitendo cha maseneta wa chama cha Democrat kukutana na Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na kudai kuwa mikutano ya wanasiasa wa chama hicho na Zarif, ndio sababu inayoifanya Tehran isikubali mazungumzo na Washington.