Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Wendy Sherman: Kuuawa Luteni Qassem Soleimani kutakuwa na matokeo hatari

    Wendy Sherman: Kuuawa Luteni Qassem Soleimani kutakuwa na matokeo hatari

    Feb 18, 2020 23:23

    Wendy Sherman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani ameitaja jinai ya serikali ya Trump ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kuwa ni hatua yenye hatari kubwa.

  • John Bolton akosoa siasa za Trump za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran

    John Bolton akosoa siasa za Trump za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran

    Feb 18, 2020 23:22

    Mshauri wa Zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ambaye binafsi ni miongoni mwa wabunifu wa mpango wa mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran katika serikali ya Rais Donald Trump, amekosoa utekelezaji wa siasa hizo za Trump kuilenga Tehran.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Feb 18, 2020 04:43

    Kujitokeza makundi ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu mpaka na kuenea katika nchi za Magharibi vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na makundi hayo, na vile vile kujitokeza mgogoro wa wakimbizi, ambao akthari yao ni Waislamu, yote hayo yametumiwa na baadhi ya viongozi na vyombo vya habari vya Magharibi kama kisingizio cha kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu; jambo ambalo limeufanya Umoja wa Mataifa ulazimike kupaza sauti yake.

  • Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani

    Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani

    Feb 15, 2020 23:18

    Tarehe tatu Januari mwaka huu wa 2020, rais wa Marekani, Donald Trump, alifanya jinai ya kutoa amri ya kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na wanajihadi wenzake tisa karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad, huko Iraq.

  • Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani

    Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani

    Feb 15, 2020 04:20

    Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump Marekani imefanya jitihada nyingi za kutaka kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolás Maduro na badala yake kuiingiza madarakani serikali kibaraka itakayoongozwa na Juan Guaidó.

  • Pelosi: Kumzuia Trump kuanzisha vita dhidi ya Iran ni kwa maslahi ya Wamarekani

    Pelosi: Kumzuia Trump kuanzisha vita dhidi ya Iran ni kwa maslahi ya Wamarekani

    Feb 14, 2020 08:31

    Spika wa Bunge la Wawakilishi katika Kongresi ya Marekani, Nancy Pelosi, ametoa taarifa baada ya kupitishwa azimio la Baraza la Seneti la kumuwekea vizingiti rais wa nchi hiyo kuhusu kuanzisha vita dhidi ya Iran.

  • Juhudi za Kongresi za kupunguza uchu wa vita wa Trump

    Juhudi za Kongresi za kupunguza uchu wa vita wa Trump

    Feb 13, 2020 08:14

    Uchu wa vita wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na hasa baada ya kumuuga kigaidi Luteni Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na watu wengine kadhaa aliokuwa ameandamana nao huko Iraq, umezua wasiwasi mkubwa ndani ya Kongresi ya Marekani na hasa kwa Wademokrat, na hivyo kuwafanya watafute njia ya haraka ya kupunguza madaraka ya Trump katika kuanzisha vita na Iran.

  • Afisa mwandamizi wa serikali ya Bush: Kisasi ilicholipiza Iran kwa mauaji ya Soleimani kimempa somo Trump

    Afisa mwandamizi wa serikali ya Bush: Kisasi ilicholipiza Iran kwa mauaji ya Soleimani kimempa somo Trump

    Feb 13, 2020 04:12

    Kanali mstaafu Lawrence Wilkerson, aliyekuwa pia mkuu wa ofisi ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Colin Powell amesema, jibu ililotoa Iran kwa mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani limempa somo na funzo rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mashambulio yoyote atakayofikiria kuyafanya siku za usoni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Serikali ya Trump yajifanya kuwa msimamizi wa Uingereza; indhari juu ya shirika la Huawei

    Serikali ya Trump yajifanya kuwa msimamizi wa Uingereza; indhari juu ya shirika la Huawei

    Feb 09, 2020 23:37

    Baada ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya hapo tarehe 31 Januari mwaka huu, Boris Johnson, Waziri Mkuu muhafidhina wa Uingereza amekuwa na matarajio makubwa ya kuanzisha uhusiano mkubwa na Marekani.

  • Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa

    Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa "Muamala wa Karne" wa Trump

    Feb 08, 2020 23:07

    Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzindua mpango kwa jina la 'Muamala wa Karne' tarehe 28 Januari mwaka huu ambao umewasilishwa eti kwa ajili ya kutatua mzozo wa muda mrefu kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni, umepingwa vikali ndani na nje ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS