-
Wajumbe zaidi ya 100 wa Baraza la Wawakilishi Marekani waukataa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Feb 08, 2020 09:27Wajumbe 107 wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua rais wa nchi hiyo Donald Trump wakiupinga vikali mpango wake alioupa jina la "Muamala wa Karne".
-
Kumalizika mchakato wa kuuzuliwa Trump, kuendelea mgawanyiko wa kisiasa Marekani
Feb 06, 2020 21:41Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya vuta nikuvute nchini Marekani, kadhia ya kuuzuliwa rais wa nchi hiyo imemalizika baada ya Baraza la Seneti linalohodhiwa na Warepublican kumtoa hatiani Donald Trump na kufumbia macho utumiaji wake vibaya madaraka.
-
Wademocrat wajiandaa kususia hotuba ya kila mwaka ya Trump
Feb 03, 2020 10:14Wabunge wa chama cha Democrat katika bunge la wawakilishi nchini Marekani, sambamba na kufanya harakati za malalamiko, wanajiandaa kususia hotuba ya kila mwaka ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Trump afurahia virusi vya Corona, asema vitainua uchumi wa Marekani
Jan 31, 2020 21:45Waziri wa Biashara nchini Marekani Wilbur Ross amesema kwamba mripuko mbaya wa virusi vya Corona nchini China unaweza kuinua uchumi wa Marekani.
-
Madai ya Trump kuhusu mchakato wa kupunguza askari wa Marekani walioko Iraq
Jan 31, 2020 03:35Baada ya kupita siku mbili tu tangu askari wa Marekani walipomuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la IRGC na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine walioandamana nao katika uwanja wa ndege wa Baghdad, tarehe 5 Januari, bunge la Iraq lilipitisha muswada wa kuwatimua askari wa muungano vamizi eti wa kupambana na Daesh (ISIS) wakiwemo askari wa Marekani.
-
Wagombea wa urais Marekani wakosoa 'mpango wa amani' wa Trump
Jan 30, 2020 23:11Wagombea wa chama cha Democrat kwenye uchaguzi wa rais wa mwaka huu 2020 nchini Marekani wamekosoa vikali kile kinachotajwa kuwa mpango wa amani uliozinduliwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wakisisitiza kuwa, pendekezo hilo lililopewa jina la wa 'Muamala wa Karne' halitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kushadidisha mgogoro baina Palestina na Israel.
-
Radiamali ya ulimwengu wa Kiarabu kwa mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne
Jan 30, 2020 08:30Jumanne ya juzi tarehe 28 Rais Donald Trump wa Marekani alizindua rasmi mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne.
-
Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu
Jan 28, 2020 08:28Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema madhumuni ya njama za Marekani dhidi ya Wapalestina kwa jina la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha na kuwatweza Waislamu.
-
Wamarekani wafanya maandamano katika majimbo 40 kupinga siasa mbovu za Trump dhidi ya Iran
Jan 27, 2020 01:12Raia wa Marekani katika majimbo 40 ya nchi hiyo wamemiminika mitaani katika maandamano makubwa ya kupinga siasa mbovu za serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mbunge wa Kogresi ya Marekani: Matamshi ya Trump kuhusu askari waliojeruhiwa Ain Al-Assad yalikuwa mabaya sana
Jan 27, 2020 00:56Mwakilishi wa bunge la Kongresi kutoka jimbo la Texas nchini Marekani amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump aliyoyatoa kuhusiana na madhara waliyoyapata askari wa Kimarekani katika shambulio la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Ain Al-Assad na kuyataja kuwa 'mabaya sana.'