-
Kundi la Kimataifa la Mawasiliano lazitaka pande hasimu Kongo kufanikisha juhudi za kukabiliana na Ebola
May 23, 2026 12:26Kundi la Kimataifa la Mawasiliano la Eneo la Maziwa Makuu (ICG) limebainisha wasiwasi wake kuhusu kuendelea mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku nchi hiyo ikiwa imeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola.
-
Watu wenye hasira washambulia kituo cha matibabu ya Ebola mashariki mwa Kongo
May 22, 2026 14:38Waandamanaji waliokuwa na hasira wameshambulia na kuchoma moto mahema kadhaa katika kituo cha matibabu ya Ebola katika jimbo la Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wakijaribu kudai miili ya jamaa zao waliofariki dunia kwa ugonjwa huo.
-
Ebola imeua watu 139, wengine 600 wameambukizwa DRC na Uganda
May 21, 2026 12:56Takriban wagonjwa 600 sasa wanashukiwa kuwa na Ebola na vifo 139 vikishukiwa kusababishwa na ugonjwa huo hali inayoongeza hofu ya kuenea zaidi kwa mlipuko wa sasa wa Ebola.
-
UNICEF: Mlipuko wa Ebola umewaweka Watoto hatarini
May 21, 2026 04:33Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Uganda, huku likionya kuwa watoto wako kwenye hatari kubwa zaidi.
-
Uganda yawaweka karantini zaidi ya watu 100 huku WHO ikitoa tahadhari kuhusu kasi ya Ebola
May 20, 2026 03:20Serikali ya Uganda inasema zaidi ya watu 100 wamewekwa karantini huku maafisa wa afya wakijitahidi kudhibiti mlipuko nadra wa Ebola unaohusishwa na aina ya virusi vya Bundibugyo.
-
WHO yaainisha mlipuko wa Ebola Congo DR na Uganda kama dharura ya afya ya umma
May 17, 2026 08:45Shirika la Afya Duniani (WHO) limeainisha mlipuko wa virusi vya Ebola vya Bundibugyo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda kama dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi kimataifa.
-
Africa CDC: Kwa muda wa wiki moja, kesi za Ebola zimeongezeka zaidi ya maradufu mkoani Kasai, DRC
Sep 12, 2025 06:57Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Maradhi, (Africa CDC) kimetangaza kuwa, idadi ya watu wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa Ebola katika jimbo la Kasai kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeongezeka zaidi ya maradufuu katika muda wa wiki moja tangu ulipothibitishwa mripuko mpya wa ugonjwa huo katika eneo hilo.
-
DRC yatangaza mripuko wa 16 wa Ebola; WHO yatoa indhari
Sep 05, 2025 07:08Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza mripuko mpya wa Ebola katika jimbo la kati la Kasai, ambalo ni la 16 nchini humo tangu 1976, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likitahadharisha kuwa huenda maambukizi ya maradhi hayo yakaongezeka.
-
Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioua makumi
Jan 11, 2023 07:45Uganda imetangaza habari ya kudhibitiwa na kutokomezwa mlipuko wa Ebola ambao umeua makumi ya watu nchini humo tangu Septemba mwaka uliomalizika 2022.
-
Afrika CDC: Mlipuko wa Ebola nchini Uganda "unadhibitika"
Oct 27, 2022 09:30Shirika la juu zaidi la afya ya umma barani Afrika (Afrika CDC) limetangaza leo Alhamisi kwamba mlipuko wa Ebola nchini Uganda bado unadhibitiwa, licha ya kuongezeka kwa kesi za maambukizi ya ugonjwa huo hadi katika mji mkuu, Kampala.