Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ebola

  • Afrika CDC: Mripuko wa Ebola Uganda unaweza kudhibitiwa

    Afrika CDC: Mripuko wa Ebola Uganda unaweza kudhibitiwa

    Oct 21, 2022 00:43

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimesema kuna hatari ya mripuko wa Ebola unaoshuhudiwa nchini Uganda kusambaa katika nchi nyingine, lakini msambao huo unaweza kudhibitiwa hivi sasa.

  • Idadi ya wahanga wa Ebola yazidi kuongezeka Uganda

    Idadi ya wahanga wa Ebola yazidi kuongezeka Uganda

    Oct 19, 2022 04:33

    Wizara ya Afya ya Uganda imetangaza kuhusu kuongezeka idadi ya watu wanaoga dunia kwa ugonjwa wa Ebola nchini humo.

  • Uganda yafunga wilaya 2 ili kudhibiti msambao wa Ebola

    Uganda yafunga wilaya 2 ili kudhibiti msambao wa Ebola

    Oct 16, 2022 07:49

    Serikali ya Uganda imetangaza habari ya kuziweka wilaya mbili za nchi hiyo katika karantini, kwa lengo la kudhibiti mripuko wa virusi vya Ebola unaoshuhudia katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwa wiki kadhaa sasa.

  • Daktari Mtanzania aaga dunia kwa Ebola nchini Uganda

    Daktari Mtanzania aaga dunia kwa Ebola nchini Uganda

    Oct 01, 2022 08:44

    Daktari mmoja raia wa Tanzania aliyekuwa akifanya kazi nchini Uganda ameaga dunia kutoka na ugonjwa wa Ebola.

  • DRC yatangaza kumalizika mripuko wa sasa wa Ebola

    DRC yatangaza kumalizika mripuko wa sasa wa Ebola

    Sep 28, 2022 04:39

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kutokomezwa ugonjwa wa Ebola mashariki mwa nchi.

  • DRC yafanya kampeni ya chanjo baada ya Ebola kuripotiwa Beni

    DRC yafanya kampeni ya chanjo baada ya Ebola kuripotiwa Beni

    Aug 25, 2022 07:34

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Alkhamisi imezindua kampeni ya kutoa chanjo katika mji Beni, mashariki mwa nchi, baada ya kesi ya virusi hivyo kuthibitishwa katika mji huo.

  • WHO: Mripuko wa 14 wa Ebola katika jimbo la Equateur, DRC umetokomezwa

    WHO: Mripuko wa 14 wa Ebola katika jimbo la Equateur, DRC umetokomezwa

    Jul 05, 2022 22:03

    Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa, mripuko wa Ebola uliotangazwa tarehe 23 mwezi Aprili mwaka huu huko Mbandaka, mji mkuu wa jimbo la Equateur katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetokomezwa.

  • Ivory Coast yarekodi kisa cha kwanza cha Ebola katika miaka 25

    Ivory Coast yarekodi kisa cha kwanza cha Ebola katika miaka 25

    Aug 15, 2021 08:58

    Waziri wa Afya wa Ivory Coast ametangaza kuwa nchi hiyo imesajili kisa cha kwanza cha virusi vya kutokwa na damu vya Ebola ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 25.

  • WHO: Tunatazamia Guinea itangaze mwisho wa mripuko wa Ebola

    WHO: Tunatazamia Guinea itangaze mwisho wa mripuko wa Ebola

    Jun 19, 2021 08:04

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema anatarajia kuwa serikali ya Guinea itatangaza leo Jumamosi habari ya kudhibitiwa mripuko wa hivi sasa wa ugonjwa wa Ebola nchini humo.

  • Hofu yatanda Guinea kufuatia kuenea uvumi wa wagonjwa wa Ebola kunyofolewa viungo

    Hofu yatanda Guinea kufuatia kuenea uvumi wa wagonjwa wa Ebola kunyofolewa viungo

    May 14, 2021 23:58

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limezindua mpango wa pamoja wa mawasiliano na serikali ya Guinea kwa lengo la kukabili kusambaa kwa habari potofu dhidi ya ugonjwa wa Ebola, ikiwemo uvumi kwamba miili ya watu wanaofariki dunia kutokana na ugonjwa huo inatolewa viungo vyao kwa ajili ya biashara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS