-
DRC yadhibiti mripuko wa 12 wa ugonjwa wa Ebola
May 03, 2021 21:03Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kudhibitiwa mripuko wa 12 wa ugonjwa wa Ebola nchini humo, miezi mitatu baada ya kesi ya kwanza kuripotiwa katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
-
Afrika CDC: Ebola imeua watu 13 Kongo DR na Guinea
Mar 07, 2021 04:05Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Guinea imeongezeka na kufikia watu 13.
-
WHO yaanza kutoa chanjo ya Ebola DRC
Feb 19, 2021 23:40Shirika la Afya Duniani WHO limeanza zoezi la kutoa chanjo ya Ebola ili kukabiliana na mlipuko mpya wa ugonjwa huo nchini Guinea na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Waliofariki kutokana na Ebola Guinea wafika 15
Feb 16, 2021 22:57Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini Guinea sasa imeongezeka na kufikia watu watano huku waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo hatai wakiwa ni 15.
-
Mripuko mpya wa Ebola waripotiwa Guinea, watu 4 wapoteza maisha
Feb 14, 2021 04:25Watu wanne wameripotiwa kuaga dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola katika eneo la Nzerekore, kusini mashariki mwa Guinea.
-
Kesi ya tatu ya Ebola yathibitishwa DRC huku watu 200 wakifuatiliwa
Feb 13, 2021 05:16Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kesi ya tatu ya ugonjwa wa Ebola katika mji wa Butembo jimboni Kivu Kaskazini, eneo ambalo lilikuwa kitovu cha mlipuko wa 10 wa ugonjwa huo uliotangazwa kumalizika mwezi Juni mwaka jana.
-
Ebola yarejea DRC, mgonjwa apoteza maisha
Feb 08, 2021 04:16Wizara ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, imetangaza kupatikana kwa mgonjwa mpya wa Ebola kwenye mji wa Butembo jimboni Kivu Kaskazini, eneo ambalo lilikuwa kitovu cha mlipuko wa 10 wa ugonjwa huo uliotangazwa kumalizika mwezi Juni mwaka jana.
-
Kongo DR yatangaza kumalizika janga la Ebola nchini humo
Nov 18, 2020 08:28Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kudhibitiwa mlipuko wa 11 wa ugonjwa wa Ebola nchini humo, ambao umesababisha vifo vya watu 55 tangu mwezi Juni mwaka huu hadi sasa.
-
Mlipuko mpya wa Ebola waua watu 11 Kongo DR
Jun 15, 2020 11:12Huku Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikiendelea kukabiliana na janga la sasa la virusi vya corona, mlipuko mpya wa virusi vya Ebola umeripotiwa katika mkoa wa magharibi mwa nchi wa Equateur.
-
Ugonjwa wa Ebola waripotiwa tena kaskazini magharibi mwa Congo DR
Jun 01, 2020 21:59Maafisa wa afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kuwa, maambukizi ya ugonjwa wa Ebola yamerejea tena nchini humo.