Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ebola

  • Kesi nyingine mpya ya Ebola yaripotiwa DRC kabla ya siku chache za kutangazwa kumalizika kwake

    Kesi nyingine mpya ya Ebola yaripotiwa DRC kabla ya siku chache za kutangazwa kumalizika kwake

    Apr 11, 2020 02:24

    Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya kuthibitishwa kesi nyingine moja ya ugonjwa wa Ebola huko Jamhhuri ya Kidemokrasia ya Congo zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya kutangazwa rasmi kumalizika kabisa ugonjwa huo nchini humo.

  • Mgonjwa wa mwisho Ebola arejea nyumbani DRC

    Mgonjwa wa mwisho Ebola arejea nyumbani DRC

    Mar 05, 2020 07:51

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mgonjwa wa mwisho wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameruhisiwa kurejea nyumbani baada ya kupatiwa matibabu katika kituo cha matibabu huko kaskazini mashariki mwa mji wa Beni.

  • WHO: Tusisahau Ebola wakati tunashughulikia Corona

    WHO: Tusisahau Ebola wakati tunashughulikia Corona

    Feb 13, 2020 08:22

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema dunia ni lazima iendelee kufadhili vita dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola kwani kuzembea katika hilo kutaleta madhara makubwa.

  • Maambukizi ya ebola yaongezeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Maambukizi ya ebola yaongezeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Dec 13, 2019 04:34

    Maafisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema, maambukizi ya ugonjwa hatari wa ebola yameongezeka katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.

  • WHO: Mapigano yanakwamisha mapambano dhidi ya Ebola Kongo DR

    WHO: Mapigano yanakwamisha mapambano dhidi ya Ebola Kongo DR

    Nov 22, 2019 10:01

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, vita na mapigano huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanakwamisha jitihada za kutokomeza ugonjwa hatari wa Ebola ambao umeua maelfu ya watu kufikia sasa.

  • Congo yaanza kutoa chanjo mpya ya Ebola katika mji wa Goma

    Congo yaanza kutoa chanjo mpya ya Ebola katika mji wa Goma

    Nov 14, 2019 21:55

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mpaka (MSF) imetangaza kuwa maafisa wa afya wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza kutoa chanjo mpya ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola iliyotengenezwa na kampuni ya Johnson & Johnson.

  • WHO na Congo DR zataka kuwekwa sheria kali kuhusu wahudumu wa wagonjwa wa Ebola

    WHO na Congo DR zataka kuwekwa sheria kali kuhusu wahudumu wa wagonjwa wa Ebola

    Oct 31, 2019 09:22

    Shirika la Afya Dunia na maafisa wa serikali ya Congo DR wametoa mapendekezo ya kufanyika mabadiliko kuhusu jinsi ya kuwahudumia waathira wa ugonjwa wa Ebola.

  • Watu zaidi ya 60 waaga dunia kwa ugonjwa wa kutatanisha uliozuka kaskazini ya Nigeria

    Watu zaidi ya 60 waaga dunia kwa ugonjwa wa kutatanisha uliozuka kaskazini ya Nigeria

    Oct 30, 2019 23:03

    Ugonjwa wa kutatanisha uliozuka katika jimbo la Katsina kaskazini mwa Nigeria umeua zaidi ya watu 60 katika jimbo hilo.

  • AU: Ebola imeua watu 2,150 kufikia sasa Kongo DR

    AU: Ebola imeua watu 2,150 kufikia sasa Kongo DR

    Oct 22, 2019 04:28

    Umoja wa Afrika umesema idadi ya watu walioaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa homa hatari ya Ebola imefikia 2,150 tangu maradhi hayo yaripuke tena katika nchi hiyo Julai mwaka jana.

  • Malawi yakanusha kuwepo Ebola eneo linalopakana na Tanzania

    Malawi yakanusha kuwepo Ebola eneo linalopakana na Tanzania

    Oct 16, 2019 01:08

    Malawi imekanusha ripoti zilizoenea kwamba mtu mmoja amegunduliwa kuwa na Ebola kwenye eneo la Karonga linalopakana na Tanzania.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS