-
Kubadilika misimamo ya Misri kuhusu migogoro ya Mashariki ya Kati
Nov 24, 2016 07:11Rais wa Jamhuri ya Misri ametangaza kuwa, nchi yake inayaunga mkono majeshi ya serikali za Syria na Iraq katika mapambano yao dhidi ya ugaidi.
-
Misri yaunga mkono mapambano ya serikali za Syria, Iraq dhidi ya magaidi
Nov 23, 2016 14:05Rais wa Misri ametangaza kuwa, nchi yake inaunga mkono majeshi ya nchi za Iraq na Syria katika mapambano yao dhidi ya ugaidi.
-
Kukandamizwa waandishi wa habari nchini Misri
Nov 20, 2016 12:44Habari kutoka nchini Misi zinaonesha kuendelea kukandamizwa waandishi wa habari na serikali ya Rais Abdul Fattah el Sisi wa nchi hiyo na kuzidi kubanwa tasnia ya uandishi wa habari katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Hatua ya karibuni kabisa ni kitendo cha mahakama moja ya Misri cha kuwafunga jela miaka miwili mkuu wa chama cha waandishi wa habari na wanachama wawili wa chama hicho.
-
Watetezi wa haki za binadamu wana wasiwasi kuhusu mpango mpya wa bunge la Misri
Nov 16, 2016 14:12Bunge la Misri limepasisha mswada kwa ajili ya kubana shughuli za taasisi zisizo za kiserikali nchini humo.
-
Misri yalaani matamshi ya Erdogan kuhusu al Sisi
Nov 11, 2016 15:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imelaani matamshi yaliyotolewa na Rais wa Uturuki kuhusiana na Rais Abdul Fattah al Sisi wa Misri na kuyataja kuwa ni mwendelezo wa hatua za kindumakuwili za serikali ya Ankara.
-
Jeshi la Misri lawekwa tayari kukabiliana na maandamano ya wananchi
Nov 11, 2016 15:04Askari usalama wa Misri wamewekwa katika hali ya tahadhari kwa ajili ya kukabiliana na maandamano ya wananchi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo kote nchini humo.
-
Al Sisi: Jeshi la Misri lina nguvu
Sep 27, 2016 02:51Rais wa Misri ameashiria kuwa tayari vikosi vya jeshi la nchi hiyo na kudai kuwa iwapo italazimu vikosi hivyo vya Misri vitasambazwa katika maeneo yote ya nchi hiyo katika muda wa masaa sita tu.
-
Rais al Sisi atetea kuongezwa bajeti ya jeshi Misri
Aug 08, 2016 02:48Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri ametetea kuongezwa bajeti ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo.
-
Polisi ya Misri wahujumu chama cha waandishi habari
May 02, 2016 16:53Polisi nchini Misri wamevamia idara ya waandishi habari mjini Cairo na kuwatia mbaroni waandishi habari wawili wanaotuhumiwa kuchochea maandamano dhidi ya serikali.
-
Mtawala wa Misri El Sisi aendelea kukiuka haki za binadamu
Apr 28, 2016 07:49Rais Abdel Fatah el Sisi nchini Misri ameendelea kukiuka haki za binaadamu huku akikosolewa kitaifa na kimataifa kutokana na kuendelea kuzorota hali ya mambo nchini humo.