-
UN: Huenda watu milioni 25 wakapoteza ajira kutokana na Corona; wanafunzi milioni 850 wakatiziwa masomo
Mar 19, 2020 07:56Shirika la Kazi Duniani (ILO) limesema huenda mamilioni ya watu wakapoteza ajira kutokana na ugonjwa wa Corona ambao umeshaua maelfu ya watu kufikia sasa katika maeneo mbali mbali duniani.
-
Mgogoro wa elimu waishtua UN, watoto milioni 258 hawaendi shule
Jan 25, 2020 07:38Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna mgogoro mkubwa wa elimu duniani hivi sasa, na kwamba watoto zaidi ya milioni 258 walio chini ya umri wa miaka 17 hawaendi shule.
-
AU: Utamaduni wa kusoma uimarishwe katika nchi za Afrika
Sep 22, 2019 07:34Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kufanywa kampeni ya kuhimiza utamaduni wa kusoma miongoni mwa vijana katika nchi za Afrika.
-
Guterres: Wasichana wa vijijini wapewa fursa ya kusoma
Feb 11, 2019 02:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanywa jitihada na kuandaliwa mikakati maalumu kwa ajili ya kuwapa elimu watoto wa kike hususan wanaoishi vijijini.