-
FAO: Idadi ya watu walioathiriwa na njaa itaongezeka
Jul 03, 2017 08:31Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema kuwa, watu milioni 20 wanasumbuliwa na njaa na utapiamlo kote duniani.
-
FAO yachukua hatua kuzuia makali ya kiangazi Somalia
Jun 03, 2017 02:47Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetibu mifugo zaidi ya milioni 12 chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa shabaha ya kudhibiti makali ya ukame na baa la njaa nchini Somalia.
-
FAO: Samaki aina ya sato au Tilapia apatikana na virusi katika baadhi ya nchi
May 27, 2017 09:23Maradhi hatari yanayoambukiza yanasambaa miongoni mwa samaki aina ya sato au tilapia, moja ya samaki muhimu na mashuhuri kwa matumizi ya binadamu.