-
Maelfu waandamana mjini New York kupinga sera ya njaa huko Gaza
Aug 17, 2025 11:24Maelfu ya wananchi wa Marekani wameshiriki maandamano huko mjini New York kutaka kukomeshwa utumiaji wa njaa kwa makusudi dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, sambamba na kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa za kukomesha mauaji ya halaiki katika eneo hilo.
-
Je, nchi za Amerika ya Kusini zimepokea vipi mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Gaza?
Aug 16, 2025 02:17Nchi nyingi za Amerika ya Kusini zimekuwa na misimamo ya kukosoa waziwazi mpango wa utawala wa Kizayuni wa kuikalia kijeshi Gaza. Bila shaka, baadhi ya nchi, kama vile Argentina, zimechukua msimamo tofauti wa kuiunga mkono Tel Aviv.
-
Mamilioni ya Waislamu waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein AS katika mji mtakatifu wa Karbala
Aug 14, 2025 14:22Mamilioni ya Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia wamekusanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha Arubaini ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW).
-
Wanajeshi wa Somalia waliokula njama na Al Shabab ya kumuua kamanda wa kikosi chao wanyongwa
Aug 12, 2025 06:57Wanajeshi wawili wa Somalia waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kula njama na kundi la kigaidi la Al Shabab ya kumuua kamanda wa kikosi chao walitekelezewa hukumu yao jana Jumatatu. Hayo ni kwa mujibu wa Mwendesha Mashtaka wa mahakama ya kijeshi ya nchi hiyo.
-
Jamii ya Wangazija yapiganiwa itambuliwe rasmi nchini Kenya
Aug 08, 2025 11:39Seneta wa Kaunti ya Mombasa iliyoko eneo la pwani ya Kenya ametoa wito wa kutaka suala la jamii ya Wangazija kutatuliwa na kupewa haki kama watu wengine nchini humo.
-
HAMAS yamsuta Witkoff, yasema haitaweka chini silaha mpaka iundwe nchi huru ya Palestina
Aug 03, 2025 05:42Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekanusha madai yaliyotolewa na mjumbe wa Marekani Mashariki ya Kati Steve Witkoff kwamba ilionyesha nia ya kuwa tayari kukabidhi silaha zake wakati wa mazungumzo ya kusitisha mapigano Ghaza kati yake na Israel, ikisisitiza kwamba ina haki ya "kitaifa na kisheria" kukabiliana na uvamizi wa utawala huo wa kizayuni katika ardhi ya Palestina.
-
Wapalestina 1373 wauawa shahidi wakisubiri msaada wa chakula Gaza
Aug 03, 2025 02:37Ofisi ya Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa: Tokea tarehe 27 Mei mwaka huu hadi sasa Wapalestina 1373 wameuliwa shahidi katika Ukanda wa Gaza wakati walipokuwa wakisubiri kugawiwa msaada wa chakula. Waliuliwa shahidi kwa kufyatiliwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni.
-
Uholanzi yawazuia kuingia nchini Ben-Gvir na Smotrich kwa kuchochea machafuko na maangamizi ya kizazi Ghaza
Jul 30, 2025 02:54Uholanzi imewataja mawaziri wa Israeli Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kuwa watu wasiokubalika na hivyo imewapiga marufuku kuingia nchini humo kutokana na vitendo vyao vya kuwachochea walowezi wa Kizayuni kuendesha ghasia na vitendo vya mabavu dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi na maangamizi ya kizazi katika Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina waliouliwa shahidi na jeshi la kizayuni Ghaza wakaribia 60,000; 92 wauawa kwa siku moja
Jul 29, 2025 07:01Idadi ya Wapalestina waliouwa shahidi kwa mashambulizi ya kinyama ya jeshi la utawala wa kizayuni katika Ukanda wa Ghaza inakaribia 60,000 baada ya jeshi hilo katili kuwaua Wapalestina wengine 92 katika muda wa siku moja wakiwemo 41 waliokuwa wakihangaika kupata msaada wa chakula.
-
Wananchi wa Morocco, Tunisia na Iraq waandamana kuwaunga mkono watu wa Gaza
Jul 28, 2025 02:42Wananchi wa Morocco, Tunisia na Iraq wawameandamana katika miji mikuu ya nchi hizo kuonyesha mshikamano na wananchi wa Gaza wakisisitiza kuondolewa mzingiro wa eneo hilo na kukomeshwa sera za utawala wa Kizayuni za kuwasababishia njaa wakazi madhulumu wa eneo hilo.