-
Wapalestina 127 wameshakufa shahidi kutokana na njaa na lisheduni katika Ukanda wa Ghaza
Jul 27, 2025 11:08Maafisa wa utoaji misaada katika Ukanda wa Ghaza wametangaza leo kuwa watu 127 wamekufa shahidi kwa utapiamlo na njaa kutokana na mzingiro mkubwa lililowekewa eneo hilo na utawala wa kizayuni na hatua ya utawala huo ghasibu ya kuzuia uingizaji misaada ya kibinadamu.
-
Mabomu ni ghali, risasi ni bei nafuu! Mkakati wa Marekani na Israel wa kuwaua Wapalestina katika safu za chakula
Jul 16, 2025 16:50Katika mwezi wa 23 wa Vita vya Gaza, ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza kwa ukatili na unyama wa hali ya juu na kwa kutumia silaha ya njaa, sasa utawala huo umebuni mbinu mpya kwa ajili ya kile kinachojulikana kama 'mauaji ya bei nafuu' ya wakazi wa Gaza.
-
Waliouawa shahidi Ghaza wapindukia 58,000, Israel yaendeleza mashambulizi ya kinyama bila ya khofu
Jul 14, 2025 04:08Wapalestina wasiopungua 58,026 wameshuawa shahidi katika vita vya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 2023.
-
Sababu za Marekani na Israel kuwapiga risasi Wapalestina kwenye safu za misaada huko Gaza
Jul 06, 2025 02:25Wakandarasi wa usalama wa Marekani wanatumia risasi za moto, maguruneti, na gesi ya kuwasha dhidi ya raia katika vituo vya usambazaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Kamisheni ya UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza
Jun 11, 2025 07:19Tume huru ya Umoja wa Mataifa imeutuhumu utawala wa Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki kwa kuwashambulia raia wa Kipalestina wanaohifadhiwa katika shule na maeneo ya kidini huko Gaza.
-
Hamas: Israel imefanya uharamia kwa kushambulia meli ya misaada
Jun 09, 2025 11:14Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya meli iliyobeba misaada ya kibinadamu kuelekea Gaza na kusema kuwa, kitendo hicho ni uharamia wa baharini na jinai dhidi ya binadamu.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wagaza yafanyika Iran, Yemen
May 31, 2025 02:23Maelfu ya watu walimiminika barabarani na mitaani katika miji yote ya Iran baada ya Swala ya Ijumaa kushiriki maandamano ya kitaifa ya "Ijumaa ya Ghadhabu", wakitangaza uungaji mkono wao usioyumba kwa Wapalestina wa Gaza, na kulaani mauaji ya kimbari ya Israel katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Muqawama walaani matamshi ya mbunge wa US anayetaka Gaza ipigwe mabomu ya nyuklia
May 25, 2025 07:10Makundi ya Muqawama ya Palestina ya Hamas na Jihadul Islami yamemlaani vikali mbunge wa chama cha Republican nchini Marekani, Randy Fine kutokana na matamshi yake ya kutaka kufanyika shambulio la nyuklia katika Ukanda wa Gaza.
-
Mbunge wa US ataka Gaza iangamizwe kwa nyuklia kama Hiroshima
May 23, 2025 11:55Mbunge wa jimbo la Florida wa chama cha Republican, Randy Fine ameashiria shambulio la bomu la nyuklia la Marekani dhidi ya Japan wakati wa Vita vya Pili vya Dunia na kutoa wito wa kuangamizwa Gaza kwa silaha za nyuklia.
-
Je, kwa nini Trump amenyamazia kimya mauaji ya kimbari huko Gaza, huku akidai yametokea Afrika Kusini?
May 23, 2025 05:57Akizungumza siku ya Jumatano katika kikao chenye mvutano na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Donald Trump wa Marekani alichukua hatua ya kushanga kwa kumuonyesha video ya kiongozi mmoja wa mrengo wa kulia wa Afrika Kusini aliyetoa wito wa kuuawa wakulima weupe ili kuthibitisha madai yake kuhusu kile kinachodaiwa kuwa mauaji ya kimbari dhidi ya wazungu wa nchi hiyo.