Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Haider al Abadi

  • Wabunge wa Kisuni Iraq: Marekani inatushinikiza tumteue tena Haider al-Abadi kuwa Waziri Mkuu

    Wabunge wa Kisuni Iraq: Marekani inatushinikiza tumteue tena Haider al-Abadi kuwa Waziri Mkuu

    Sep 20, 2018 15:23

    Mjumbe wa Mrengo wa Ujenzi wa Iraq ambaye pia ni mbunge wa Kisuni katika Bunge la nchi hiyo amefichua kuwa serikali ya Marekani inawashinikiza wabunge wote wa Kisuni nchini Iraq wamuungE mkono Haider al-Abadi ili ateuliwe tena kuwa waziri mkuu.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Malalamiko ya wananchi wa Basra ni ya haki

    Waziri Mkuu wa Iraq: Malalamiko ya wananchi wa Basra ni ya haki

    Sep 08, 2018 14:33

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, anakubaliana na mpango wa kuungalia mkoa wa Basra kwa mtazamo maalumu katika baadhi ya vipengee vinavyohusiana na utekelezaji wa bajeti na maamuzi ya serikali.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Waliochoma moto masanduku ya kura wamelenga moja kwa moja usalama na demokrasia yetu

    Waziri Mkuu wa Iraq: Waliochoma moto masanduku ya kura wamelenga moja kwa moja usalama na demokrasia yetu

    Jun 11, 2018 14:06

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, moto uliotokea katika kituo kimoja kikuu cha kuhifadhia masanduku ya kura mjini Baghdad, ni njama zenye lengo la kutoa pigo kwa usalama na demokrasia ya nchi hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kufuatiliwa magaidi wa Daesh nje ya mipaka ya Iraq

    Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kufuatiliwa magaidi wa Daesh nje ya mipaka ya Iraq

    May 23, 2018 03:31

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitizia ulazima wa kudhaminiwa usalama wa mipaka ya nchi hiyo na kufanyika operesheni dhidi ya wafuasi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nje ya mipaka ya Iraq.

  • Orodha ya al Abadi inaongoza katika uchaguzi Iraq; matokeo ya awali yaonyesha

    Orodha ya al Abadi inaongoza katika uchaguzi Iraq; matokeo ya awali yaonyesha

    May 13, 2018 15:44

    Duru kutoka katika Tume Kuu Huru ya Uchaguzi ya Iraq leo imearifu kuwa orodha ya al Nasr yenye mfungamano na Haidar al Abadi Waziri Mkuu wa nchi hiyo inaongoza matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge yaliyotangazwa hadi sasa.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Iraq iliyo imara haitaruhusu DAESH warudi tena nchini

    Waziri Mkuu wa Iraq: Iraq iliyo imara haitaruhusu DAESH warudi tena nchini

    Apr 19, 2018 03:02

    Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amesisitiza kuwa, kwa kutegemea umoja na mshikamano wake na uwezo wa wapiganaji na wanachi wake, Iraq haitaruhusu magaidi wa DAESH (ISIS) warudi tena nchini humo.

  • Hashdu sh-Sha'abi yakaribisha hatua ya Haider al-Abadi ya kuipa haki sawa na jeshi la Iraq

    Hashdu sh-Sha'abi yakaribisha hatua ya Haider al-Abadi ya kuipa haki sawa na jeshi la Iraq

    Mar 11, 2018 03:26

    Msemaji wa harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq na ambayo ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi, amekaribisha uamuzi wa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi hiyo Haider al-Abadi, ya kuifanya kuwa sawa mishahara ya wapiganaji wa harakati hiyo na askari wa jeshi la Iraq.

  • Al Abadi: Ugaidi umemalizika kijeshi Iraq, sasa ni vita vya kifikra

    Al Abadi: Ugaidi umemalizika kijeshi Iraq, sasa ni vita vya kifikra

    Mar 10, 2018 15:23

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kwa mtazamo wa kijeshi, ugaidi umeshindwa na kumalizika nchini Iraq na sasa hatua inayofuata ni kukabiliana na fikra za kigaidi.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Fatwa ya kihistoria ya Ayatullah Sistani ndiyo siri ya ushindi dhidi ya Daesh

    Waziri Mkuu wa Iraq: Fatwa ya kihistoria ya Ayatullah Sistani ndiyo siri ya ushindi dhidi ya Daesh

    Mar 04, 2018 02:39

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, fatwa ya kihistoria na ya mahala pake iliyotolewa na Ayatullah Sistani, marja'a mkubwa wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq wakati nchi hiyo ilipokuwa katika hatari ya kumezwa kikamilifu na magaidi, ilikuwa na umuhimu mkubwa.

  • Al-Abadi: Baada ya kuwatokomeza Daesh, vita iliyosalia ni kupambana na ufisadi

    Al-Abadi: Baada ya kuwatokomeza Daesh, vita iliyosalia ni kupambana na ufisadi

    Feb 02, 2018 14:16

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, baada ya kumalizika vita dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS), changamoto mpya inayoikabili Iraq hivi sasa ni kupambana na ufisadi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS