Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Haider al Abadi

  • Waziri Mkuu wa Iraq azungumza na Barzani kuhusu Kurdistan ya Iraq

    Waziri Mkuu wa Iraq azungumza na Barzani kuhusu Kurdistan ya Iraq

    Jan 21, 2018 03:09

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haydar al Abadi na Nechirvan Barzani, rais wa utawala wa ndani wa eneo la Kurdistan la Iraq wamefanya mazungumzo kuhusiana na matukio ya hivi karibuni na mgogoro uliozuka baina ya Baghdad na Erbil baada ya Kurdistan kuitisha kura ya maoni ya kujitenga na Iraq.

  • Haider al-Abadi: Uchaguzi wa bunge la Iraq hautaahirishwa na utafanyika kama ilivyopangwa

    Haider al-Abadi: Uchaguzi wa bunge la Iraq hautaahirishwa na utafanyika kama ilivyopangwa

    Jan 17, 2018 07:52

    Waziri Mkuu nchini Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa uchaguzi wa bunge la nchi hiyo utafanyika katika tarehe iliyopangwa ya 12 Mei mwaka huu na kwamba kamwe hautaahirishwa.

  • Iraq yatangaza rasmi kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS nchini humo

    Iraq yatangaza rasmi kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS nchini humo

    Dec 09, 2017 15:10

    Waziri Mkuu wa Iraq leo ametangaza rasmi kumalizika kwa mafanikio vita dhidi ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini humo.

  • Al Abadi aunga mkono agizo la Mahakama ya Shirikisho ya Iraq ya kufuta kura ya maoni ya Kurdistan

    Al Abadi aunga mkono agizo la Mahakama ya Shirikisho ya Iraq ya kufuta kura ya maoni ya Kurdistan

    Nov 21, 2017 02:39

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Iraq imetoa taarifa ikiunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu ya Shirikisho ya nchi hiyo ya kufuta matokeo ya kura ya maoni iliyofanyika nchini humo kwa ajili ya kujitenga eneo la Kurdistan.

  • Enzi za kutamba kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) ndani ya ardhi ya Iraq zafikia tamati

    Enzi za kutamba kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) ndani ya ardhi ya Iraq zafikia tamati

    Nov 18, 2017 03:00

    Waziri Mkuu wa Iraq Haidar Al-Abadi ametoa mkono wa hongera kwa wananchi wa Iraq kufuatia kukombolewa mji wa Rawah ulioko mkoani Al-Anbar magharibi mwa nchi hiyo kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).

  • Al Abadi: Karbala inawahusu wanadamu wote

    Al Abadi: Karbala inawahusu wanadamu wote

    Nov 10, 2017 04:55

    Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amesema kuwa mapenzi ya watu kwa Karbala na Imam Hussein ni kielelezo kwamba tukio lililojiri katika eneo hilo linawahusu wanadamu wote na si makhsusi kwa dini au madhuhebu moja.

  • Ngome ya mwisho ya Daesh Iraq yadhibitiwa, al-Abad atoa pongezi

    Ngome ya mwisho ya Daesh Iraq yadhibitiwa, al-Abad atoa pongezi

    Nov 04, 2017 07:35

    Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abad ametoa pongezi kufuatia kukombolewa eneo la al-Qaim, magharibi mwa mkoa wa al-Anbar kutoka mikononi mwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh.

  • Iraq: Hatuna lengo la kuwatesa kwa njaa wakazi wa Kurdistan, bali tunazuia magendo

    Iraq: Hatuna lengo la kuwatesa kwa njaa wakazi wa Kurdistan, bali tunazuia magendo

    Sep 30, 2017 04:35

    Waziri Mkuu wa lraq amesema kuwa, hatua zilizochukuliwa na serikali kuu ya lraq hususan katika kufunga mipaka yake na eneo linalotaka kujitenga la Kurdistan, hazina lengo la kuwatesa kwa njaa wakazi wake.

  • Haider al-Abadi ataka kukomeshwa harakati zenye kuwagawa Wairaq

    Haider al-Abadi ataka kukomeshwa harakati zenye kuwagawa Wairaq

    Jul 25, 2017 07:54

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi, amewataka Wairaq wote na harakati za kisiasa za nchi hiyo kushikamana na kuwa na umoja na amepiga marufuku makundi yanayotoa nara zenye kulingania mgawanyiko na vitendo vya utumiaji mabavu.

  • Al Abadi: Kukombolewa Mosul ni mwanzo wa kumalizika Daesh

    Al Abadi: Kukombolewa Mosul ni mwanzo wa kumalizika Daesh

    Jul 17, 2017 07:22

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa kushindwa magaidi katika mji wa Mosul kaskazini mwa nchi hiyo ni mwanzo wa kusambaratika kundi la kitakfiri la Daesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS