Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Haider al Abadi

  • Radiamali ya al Abadi kwa madai ya baadhi ya taasisi dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo

    Radiamali ya al Abadi kwa madai ya baadhi ya taasisi dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo

    Jul 13, 2017 15:03

    Waziri Mkuu wa Iraq amekadhibisha madai ya baadhi ya taasisi za kimataifa eti za kutetea haki za binadamu zinazoeneza uvumi kuwa vikosi vya Iraq vilivunja haki za binadamu katika oparesheni ya kuukomboa mji wa Mosul.

  • Rais Rouhani aipongeza  Iraq kwa kuwatimua magaidi wa ISIS kutoka Mosul

    Rais Rouhani aipongeza Iraq kwa kuwatimua magaidi wa ISIS kutoka Mosul

    Jun 30, 2017 14:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Iraq kufuatia mafanikio ya kukombolewa mji wa Mosul ambao ulikuwa unakaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.

  • Haider al-Abadi: Ukurasa wa Daesh mjini Mosul umefungwa

    Haider al-Abadi: Ukurasa wa Daesh mjini Mosul umefungwa

    Jun 27, 2017 15:38

    Saa chache baada ya kuenea habari juu ya kushindwa kikamilifu magaidi wa Daesh (ISIS) katika ngome yao ya mwisho kwenye maeneo ya mji mkongwe wa Mosul, Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, muda wa kutangazwa kukombolewa kikamilifu mji huo umekaribia na faili la Daesh limefungwa nchini Iraq.

  • Spika Larijani: Kugawanywa Iraq ndilo takwa la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Spika Larijani: Kugawanywa Iraq ndilo takwa la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jun 21, 2017 13:57

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kudumishwa umoja wa Iraq na kubainisha kwamba, kugawanywa nchi hiyo ya Kiarabu ndilo takwa hasa la utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Onyo la Waziri Mkuu wa Iraq juu ya njama za kimataifa dhidi ya taifa hilo

    Onyo la Waziri Mkuu wa Iraq juu ya njama za kimataifa dhidi ya taifa hilo

    May 21, 2017 03:55

    Akizungumza mbele ya waandishi wa habari mjini Baghdad hapo siku ya Ijumaa Haider al-Abad, Waziri Mkuu wa lraq alikosoa vikali hatua ya kufanyika mwezi mmoja uliopita vikao vya eti kujadili mustakbali wa lraq huko mjini Geneva Uswisi kwa ubunifu wa Marekani na vilevile mjini lstanbul kwa ubunifu wa Uturuki.

  • Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu kura ya maoni ya kujitangazia uhuru eneo la Kurdistan

    Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu kura ya maoni ya kujitangazia uhuru eneo la Kurdistan

    Apr 03, 2017 07:35

    Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi ametoa onyo kwa hatua zinazochukuliwa na eneo la nchi hiyo la Kurdistan za kutaka kuitisha kura ya maoni ya kujitangazia uhuru.

  • Al-Abadi asisitiza kukaribia ushindi dhidi ya ISIS nchini Iraq, Trump ajikosha

    Al-Abadi asisitiza kukaribia ushindi dhidi ya ISIS nchini Iraq, Trump ajikosha

    Mar 31, 2017 04:03

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh unakaribia.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq nchini Marekani; wasiwasi na matarajio yaliyopo

    Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq nchini Marekani; wasiwasi na matarajio yaliyopo

    Mar 20, 2017 13:18

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haidar al-Abadi, huku akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa nchi yake jana alielekea mjini Washington kwa lengo la kufanya safari rasmi nchini Marekani.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Daesh hawana njia isipokuwa kujisalimisha au kuuliwa

    Waziri Mkuu wa Iraq: Daesh hawana njia isipokuwa kujisalimisha au kuuliwa

    Mar 08, 2017 03:19

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh hawana njia nyingine isipokuwa kujisalimisha au kuuawa.

  • Iraq: Uturuki imeahidi kuondoa askari wake nchini mwetu

    Iraq: Uturuki imeahidi kuondoa askari wake nchini mwetu

    Jan 08, 2017 03:11

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa serikali ya Uturuki imeahidi kuondoa askari wake katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS