• Ushirikiano wa Iran, Iraq, Syria na Russia katika vita dhidi ya ugaidi

    Ushirikiano wa Iran, Iraq, Syria na Russia katika vita dhidi ya ugaidi

    Jan 05, 2017 04:36

    Haidar al Abadi, Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, ushirikiano wa Iraq, Russia, Syria na Iran katika vita dhidi ya ugaidi ni kwa maslahi ya wote.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Ushindi dhidi ya DAESH unakaribia

    Waziri Mkuu wa Iraq: Ushindi dhidi ya DAESH unakaribia

    Dec 03, 2016 07:51

    Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amesema, kutokana na kusonga mbele vikosi vya pamoja vya nchi hiyo katika pande zote za medani ya vita kwa ajili ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi la kitakfiri na Daesh, ushindi wa jeshi la nchi hiyo uko karibu mno kupatikana.

  • Rouhani na al Abadi wajadili mapambano dhidi ya ugaidi

    Rouhani na al Abadi wajadili mapambano dhidi ya ugaidi

    Apr 21, 2016 05:23

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri Mkuu wa Iraq wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili hali ya sasa ya Mashariki ya Kati husuan mipango ya serikali ya Iraq ya kurejesha amani nchini humo na kupambana na ugaidi.