Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Iran: Madola ya Kiislamu yachukue hatua za kukomesha jinai za Israel

    Iran: Madola ya Kiislamu yachukue hatua za kukomesha jinai za Israel

    Jun 19, 2023 06:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyaasa madola ya Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.

  • HAMAS: Israel inataka kuwafunga jela watoto zaidi wa Palestina

    HAMAS: Israel inataka kuwafunga jela watoto zaidi wa Palestina

    Jun 18, 2023 04:09

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani njama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kupasisha sheria inayoruhusu kufungwa jela watoto wadogo wa Kipalestina wa kuanzia miaka 12.

  • Jumbe za Kiislamu za Quds: Msikiti wa al Aqsa ni mstari wetu mwekundu

    Jumbe za Kiislamu za Quds: Msikiti wa al Aqsa ni mstari wetu mwekundu

    Jun 13, 2023 01:10

    Ujumbe wa ngazi ya juu wa Kiislamu na jopo la maulamaa wa Baitul Muqaddas wametahadharisha kuhusu njama za utawala wa Kizayuni za kutaka kubadili mazingira ya msikiti wa al Aqsa na kusisitiza kuwa eneo hilo takatifu ni mstari wao mwekundu.

  • Al-Qaddumi: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele cha sera za nje za Iran

    Al-Qaddumi: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele cha sera za nje za Iran

    Jun 03, 2023 02:47

    Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nchini Iran amesema kuwa, kwa miaka mingi sasa baada ya kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, kadhia ya Palestina imeendelea kuwa kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu.

  • Wazayuni wakiri kupata pigo; wasema: Israel haina uwezo wa kukabiliana na makombora ya Wapalestina

    Wazayuni wakiri kupata pigo; wasema: Israel haina uwezo wa kukabiliana na makombora ya Wapalestina

    May 16, 2023 10:49

    Majenerali wa jeshi la utawala wa Kizayuni wamekiri kupata pigo katika vita vya siku tano vilivyoisha Ijumaa iliyopita na kutangaza wazi kwamba, katika uvamizi wake wa hivi karibuni huko Ghaza, utawala wa Israel si tu haukupata mafanikio yoyote, lakini ngome ya ulinzi wa anga ya Israel imeshindwa kukabiliana na makombora ya muqawama wa Palestina.

  • Hamas yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hamas yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 12, 2023 06:33

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko katika Ukanda wa Gaza kinauhamasisha utawala huo ghasibu kuzididisha mashambulizi yake dhidi ya raia wasio na hatia.

  • Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni

    Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni

    Apr 27, 2023 02:07

    Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, maonyo yanayotolewa na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ndiyo sababu kuu inayozuia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS: Damu za mashahidi hazitaachwa kumwagika vivi hivi

    HAMAS: Damu za mashahidi hazitaachwa kumwagika vivi hivi

    Apr 24, 2023 21:55

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, kamwe haitoruhusu damu za mashahidi zimwagike vivi hivi. Taarifa ya harakati hiyo imetolewa baada ya wanajeshi makatili wa Israel kumuua kigaidi kijana mwingine wa Kipalestina huko Ariha.

  • OIC yaalani vikali hujuma za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa

    OIC yaalani vikali hujuma za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa

    Apr 24, 2023 08:58

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya Wazayuni katika eneo la Babul Rahma katika Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa.

  • Hamas: Oparesheni ya Sheikh Jarrah ni jibu la kawaida kwa jinai za maghasibu

    Hamas: Oparesheni ya Sheikh Jarrah ni jibu la kawaida kwa jinai za maghasibu

    Apr 18, 2023 21:59

    Kufuatia oparesheni iliyofanywa jana huko Quds inayokaliwa kwa mabavu dhidi ya Wazayuni, msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema oparesheni hiyo ya Sheikh Jarrah ni jibu la kawaida kwa jinai zinazofanywa na Maghasibu wa Kizayuni dhidi ya raia wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS