-
Ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS wawasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow
Sep 11, 2022 03:03Ujumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS umewasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama
Sep 06, 2022 23:27Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Jenin vimekuwa hifadhi na nguzo ya muqawama.
-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 17, 2022 23:41Mousa Mohammed Abu Marzook, Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
HAMAS yapongeza misimamo ya waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya Israel
Aug 13, 2022 03:48Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo thabiti ulioonyeshwa na waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Abdollahian awapongeza wanamuqwama kwa kukabiliana na wanajeshi wa Kizayuni
Aug 09, 2022 20:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwa mara nyingine tena wanajihadi za harakati za muqawama wa Palestina wameweza kusimama kidete mkabala wa nguvu kubwa za kijeshi za utawala wa Kizayuni, na hatimaye wakawalazimisha maadui kusalimu amri na kuafiki kusitisha vita.
-
Hamas yapinga misimamo ya Saudia ya kujikurubisha zaidi kwa wazayuni maghasibu
Jul 15, 2022 22:25Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali hatua ya Saudi Arabia ya kufungua anga ya nchi hiyo kwa ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Israel inapaswa kukabiliwa kwa jibu kali kwa kuishambulia Syria
Jul 03, 2022 03:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, utawala huo haramu unapaswa kukabiliwa kwa jibu kali kwa kuushambulia mji bandari wa Syria.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni hauna mamlaka yoyote huko Quds
Jun 27, 2022 22:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauna mamlaka yoyote katika mji wa Quds na kwamba Hamas itaendelea kuupigania mji huo hadi utakapokombolewa.
-
Haniya: Mapambano yataendelea mpaka Palestina iliyoanzia kwenye Mto hadi Baharini itakapokombolewa
Jun 25, 2022 21:52Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mapambano na muqawama ungali unaongeza nguvu zake hadi ufike wakati wa kukombolewa Palestina iliyoanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania.
-
HAMAS: Israel iache kuchimba mashimo kwenye ua wa Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 24, 2022 08:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka utawala haramu wa Israel uache mara moja kitendo chake cha kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea katika msikiti mtatatifu wa al-Aqsa.