Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • HAMAS yalaani msimamo wa waziri wa Biashara wa Bahrain dhidi ya Palestina

    HAMAS yalaani msimamo wa waziri wa Biashara wa Bahrain dhidi ya Palestina

    Dec 04, 2020 04:13

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani matamshi aliyotoa waziri wa biashara, viwanda na utalii wa Bahrain kuhusu azma ya nchi yake ya kununua bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kwenye Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • HAMAS: Mamlaka ya Ndani ya Palestina haina utashi wowote wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni

    HAMAS: Mamlaka ya Ndani ya Palestina haina utashi wowote wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni

    Nov 30, 2020 09:28

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Mamlaka ya Ndani ya Palestina kila mara imekuwa ikionyesha ulegevu na ulainifu linapokuja suala la mashirikiano na makubaliano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Ushirikiano wa Serikali ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni ni kinyume na mapatano ya kitaifa

    Hamas: Ushirikiano wa Serikali ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni ni kinyume na mapatano ya kitaifa

    Nov 19, 2020 07:38

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameitaja hatua ya kuanza tena uhusiano baina ya Serikali ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni kuwa ni kinyume na mapatano ya kitaifa.

  • Hamas na Jihad Islami zalaani hatua ya Serikali ya Ndani ya Palestina ya kushirikiana na utawala wa Kizayuni

    Hamas na Jihad Islami zalaani hatua ya Serikali ya Ndani ya Palestina ya kushirikiana na utawala wa Kizayuni

    Nov 18, 2020 04:30

    Harakati za Hamas na Jihad Islami za Palestina zimetoa taarifa kwa nyakati tofauti na kulaani hatua ya Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kutoa dhamana ya kuanzisha uratibu wa masuala ya usalama na utawala wa Kizayuni.

  • Hamas: Serikali za Marekani daima huukingia kifua utawala haramu wa Israel.

    Hamas: Serikali za Marekani daima huukingia kifua utawala haramu wa Israel.

    Nov 09, 2020 04:52

    Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa siasa za mambo ya nje za serikali zote zilizotawala Marekani daima zimekuwa zikiunga mkono na kuukingia kifua utawala haramu wa Israel

  • Hamas yasisitiza kuharakisha kufikiwa ramani ya njia ya kitaifa ya Palestina

    Hamas yasisitiza kuharakisha kufikiwa ramani ya njia ya kitaifa ya Palestina

    Nov 02, 2020 04:08

    Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametaka kuharakishwa kufikiwa ramani ya njia ya kitaifa ya Palestina.

  • HAMAS: Chokochoko za Ufaransa zimeumiza hisia za Waislamu duniani

    HAMAS: Chokochoko za Ufaransa zimeumiza hisia za Waislamu duniani

    Oct 26, 2020 08:14

    Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema hatua za kichochezi na kichokozi za maafisa wa serikali ya Ufaransa za kuunga mkono kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu zimeumiza hisia na nyoyo za Waislamu kote duniani.

  • Hamas: Imarati na Bahran ziipe Israel baadhi ya ardhi zao....

    Hamas: Imarati na Bahran ziipe Israel baadhi ya ardhi zao....

    Oct 15, 2020 07:57

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa kama watawala wa Imarati na Bahrain wanaliona suala la kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel ni jambo la kawaida basi watoe baadhi ya ardhi za nchi zao kwa utawala huo haramu.

  • Hamas: Waandishi wa habari wasiupe jukwaa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hamas: Waandishi wa habari wasiupe jukwaa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 06, 2020 04:13

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewakosoa waandishi wa habari hususan katika nchi za Kiarabu kwa kumpa waziri wa vita wa Israel jukwaa la kuhubiri siasa na sera za utawala huo haramu.

  • Amnesty: Mwakilishi wa HAMAS aliyeko jela Saudia amewekwa kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu

    Amnesty: Mwakilishi wa HAMAS aliyeko jela Saudia amewekwa kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu

    Oct 06, 2020 00:11

    Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limesema, mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS aliyeko jela nchini Saudi Arabia anaishi kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS