-
HAMAS: Hakuna cha kuzungumzwa kuhusu silaha za muqawama
Sep 29, 2017 04:07Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kwamba katika mazungumzo na harakati ya Fat-h, Hamas haikukubaliana na wazo la kuwapokonya silaha wanamuqawama na kwamba suala hilo halikujadiliwa katika mazungumzo yaliyopita wala halitojadiliwa katika mustakabali.
-
Hamas yaipongeza UN kwa kuiweka Israel katika orodha nyeusi
Sep 25, 2017 04:22Harakari ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ya kuiweka Israel katika orodha nyesi ya nchi zinazokiuka haki za binadamu.
-
Hamas yaafiki kuvunja serikali yake Ghaza kwa ajili ya Umoja wa Palestina
Sep 17, 2017 23:13Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imekubali sharti kubwa lililowekwa na chama cha Fat'h cha Mahmoud Abbas ikiwa ni pamoja na kufanyika chaguzi za kitaifa Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Tutafungamana na chaguo la muqawama ili kufanikisha malengo ya wananchi wa Palestina
Sep 14, 2017 03:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa itaendelea kufungamana na chaguo la muqawama kama njia pekee ya kufanikisha malengo ya wananchi wa Palestina katika ardhi yenye uhuru na kujitawala.
-
HAMAS yatoa sharti la kuipatia Israel taarifa za askari wake iliowakamata mateka
Sep 13, 2017 10:29Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema itaupatia utawala wa Kizayuni wa Israel taarifa kuhusu askari wake waliokamatwa mateka katika Ukanda wa Gaza kwa sharti utawala huo haramu uwaachie huru kwanza Wapalestina 54 unaowashikilia kwenye jela zake.
-
Hamas yalaani shambulizi la anga la Israel nchini Syria
Sep 07, 2017 23:57Harakati ya Mapambnao ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani shambulio la Alkhamisi asubuhi la ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria.
-
Hamas yautaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa Gaza
Aug 30, 2017 03:25Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa kidhulma dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS yawasilisha kwa Misri mpango wa kupunguza makali ya mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza
Aug 23, 2017 03:15Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo imewasilisha kwa serikali ya Misri mpango wa mapendekezo kadhaa ya kupunguza makali ya mzingiro uliowekwa dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yasisitiza nia njema ya Iran kuhusu kadhia ya Palestina
Aug 11, 2017 21:53Afisa wa Uhusiano wa Nje wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, nia njema ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kushughulikia suala la Palestina imethibitika wazi.
-
Mahmoud al-Zahar: Hamas iko tayari kushirikiana na wanaotaka kukombolewa Palestina
Aug 07, 2017 02:38Mjumbe mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kushirikiana na watu wote wanaofanya juhudi za kutaka kukombolewa Palestina kutoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.