-
Hamas: Wakati umefika kwa nchi za Kiislamu kuchukua hatua kivitendo dhidi ya Israel
Jul 26, 2017 22:52Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ametaka kushinikizwa kivitendo utawala wa Kizayuni ili kutetea na kuunga mkono Msikiti wa al Aqsa.
-
HAMAS yataka kuitishwa kikao cha Waarabu na Waislamu kwa ajili ya al-Aqswa
Jul 21, 2017 22:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina imetoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kuhusiana na msikiti wa al-Aqswa.
-
Jenerali Mzayuni amuonya Netanyahu kuhusu kuichokoza HAMAS
Jun 18, 2017 03:21Jenerali mmoja Mzayuni amemuonya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu siasa zake mbele ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na kusema huko ni kucheza na moto.
-
Hamas yakataa wito wa Shirika la Msalaba Mwekundu
Jun 10, 2017 23:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga wito uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu la kutaka kujua hatima ya askari wawili wa Kizayuni waliotoweka katika enro la Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS: Kupanuliwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni moja ya matokeo ya safari ya Trump Mashariki ya Kati
Jun 07, 2017 10:57Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kupanuliwa ambako hakujawahi kushuhudiwa kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kunakofanywa na utawala ghasibu wa Israel katika maeneo ya Wapalestina ni moja ya matokeo ya safari ya Rais Donald Trump wa Marekani katika Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah yatoa radiamali na kukosoa Hati mpya ya Kisiasa ya Hamas
May 02, 2017 23:16Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa muqawama usiopigania kukomboa ardhi yote ya kihistoria ya Palestina hauwezi kuwa na tija wala faida yoyote.
-
HAMAS yaishukuru Korea Kaskazini, Wazayuni walaumiana kwa kuichokoza Pyongyang
May 01, 2017 03:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa tamko na kuipongeza Korea Kaskazini kwa msimamo wake thabiti dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah na Hamas zalaani hujuma za kigaidi dhidi ya makanisa huko Misri
Apr 09, 2017 23:48Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imelaani vikali miripuko ya kigaidi katika makanisa mawili nchini Misri iliyosababisha mauaji, na kwamba hujuma hizo dhidi ya Wakristo ni za kishenzi.
-
Hati mpya ya Kisiasa ya HAMAS: Wakimbizi wa Kipalestina warejee kwenye ardhi zao za asili
Apr 03, 2017 03:14Baadhi ya vifungu vya hati mpya ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS vimetangazwa vikisisitizia haki ya wakimbizi wote wa Kipalestina walioko maeneo tofauti duniani kurejea kwenye ardhi zao za asili.
-
Israel: Kombora jipya la HAMAS litaishinda ngao yetu ya chuma ya makombora
Mar 29, 2017 03:24Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekiri kwamba, kombora jipya la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS, lenye uzito wa kilo 200, litaweza kuishinda ngao ya chuma ya utawala huo.