-
Hamas yasisitiza umuhimu wa mkutano wa kuiunga mkono Intafadha ya Palestina
Feb 19, 2017 11:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesisitiza umuhimu mkubwa wa Mkutano wa Sita wa Kuiunga Mkono Intifadha na Quds katika mazingira ya sasa katika eneo na duniani kwa ujumla utakaofanyika hapa Tehran.
-
Abbas afanya mazungumzo na spika wa zamani wa Knesset
Feb 18, 2017 04:49Rais wa serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekutana na kufanya mazungumzo na spika wa zamani wa Bunge la Israel, Knesset katika mji wa Ramallah siku chache tu baada ya Waziri wa Utamaduni wa utawala huo haramu kutoa wito wa kufutwa kikamilifu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) katika Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yaionya Israel isijaribu kuishambulia Ghaza
Feb 16, 2017 00:36Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel usijaribu kuichokoza na kuanzisha vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas yateua kiongozi wake mpya Ukanda wa Ghaza
Feb 13, 2017 23:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina, Hamas, imemteua afisa wa ngazi za juu wa tawi lake la kijeshi kuwa kiongozi wa harakati hiyo Ukanda wa Ghaza.
-
Jumatano Januari 25, 2017
Jan 24, 2017 23:26Leo ni Jumatano tarehe 26 Mfunguo Saba Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 25, 2017 Milaadia.
-
Mwakilishi wa Hamas Tehran: Iran ni muungaji mkono wetu pekee katika eneo
Jan 16, 2017 23:34Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) hapa Tehran amesema kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kuendeleza muqawama na kwamba ishara ya wazi zaidi ya mapambano hayo ni Intifadha.
-
HAMAS: Mkutano wa Paris kuhusu Palestina ni kupoteza wakati
Jan 16, 2017 00:21Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mkutano wa mapatano ulioanza jana huko Paris Ufaransa ni kupoteza wakati bure na ni marudio ya mikutano ya mapatano ya huko nyuma ambayo haikuwa na matunda yoyote.
-
Wapalestina waandamana Ghaza katika maadhimisho ya kuasisiwa harakati ya Hamas
Dec 09, 2016 10:46Makumi ya maelfu ya Wapalestina leo wameshiriki katika maandamano huko Ghaza kuadhimisha mwaka wa 29 wa kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Hamas: Israel inacheza na moto kwa kupiga marufuku Adhana
Nov 21, 2016 03:58Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia amri yake ya kupiga marufuku adhana na kusema sheria hiyo ni sawa na 'kuchezea moto.'
-
Hamas yakadhibisha madai ya kuwepo mgogoro katika uhusiano wake na Iran
Nov 17, 2016 12:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekadhibisha madai ya kuwepo mgogoro katika uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.