Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas: Matokeo ya uchaguzi wa Marekani hayatabadili hali ya Mashariki ya Kati

    Hamas: Matokeo ya uchaguzi wa Marekani hayatabadili hali ya Mashariki ya Kati

    Nov 12, 2016 00:38

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika siku chache zilizopita nchini Marekani hayatakuwa na taathira chanya katika mgogoro wa Mashariki ya Kati.

  • Mash'al: Kuna udharura wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina

    Mash'al: Kuna udharura wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina

    Nov 03, 2016 00:24

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa upo udhaura wa kufikiwa umoja wa kitaifa wa Palestina ili kukomesha ukaliaji mabavu wa Israel.

  • Viongozi wa Palestina wakutana Doha katika kikao nadra cha kutafuta umoja

    Viongozi wa Palestina wakutana Doha katika kikao nadra cha kutafuta umoja

    Oct 28, 2016 10:34

    Rais Mahmoud Abbas wa mamlaka ya ndani ya Palestina ameshiriki katika mkutano nadra na viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.

  • Radiamali ya Hamas kwa vitisho vya Waziri wa Vita wa Israel

    Radiamali ya Hamas kwa vitisho vya Waziri wa Vita wa Israel

    Oct 25, 2016 04:49

    Harakati ya Mapambano wa Kiislamu ya Palestina Hamas imepuuzilia mbali vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Lieberman, akidai kuwa utawala huo utausambaratisha muqawama wa Wapalestina.

  • Kamanda wa jeshi Israel akiri kuhusu nafasi ya Hamas Ukanda wa Ghaza

    Kamanda wa jeshi Israel akiri kuhusu nafasi ya Hamas Ukanda wa Ghaza

    Oct 21, 2016 04:16

    Kamanda wa zamani wa jeshi la Israel amekiri kuwa ni vigumu kuifuta Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas.

  • HAMAS yalaani msimamo wa Katibu Mkuu wa UN dhidi ya UNESCO

    HAMAS yalaani msimamo wa Katibu Mkuu wa UN dhidi ya UNESCO

    Oct 20, 2016 04:19

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imemkosoa vikali Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa kuunga mkono sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas yaikosoa ICC kwa kutoutembelea Ukanda wa Gaza

    Hamas yaikosoa ICC kwa kutoutembelea Ukanda wa Gaza

    Oct 09, 2016 04:48

    Harakati ya muqawama wa Palestina Hamas imesema safari ya ujumbe wa maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu haina maana na umuhimu wowote, madhali wataalamu hao wa masuala ya sheria watakosa kuutembelea Ukanda wa Gaza.

  • Hamu ya Hamas ya kuimarisha uhusiano na Iran

    Hamu ya Hamas ya kuimarisha uhusiano na Iran

    Oct 06, 2016 04:15

    Mmoja wa viongozi wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa harakati hiyo ina hamu ya kuimarisha uhusiano kati yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Hamas: Mapambano ya Intifadha ya Quds yataendelea

    Hamas: Mapambano ya Intifadha ya Quds yataendelea

    Oct 01, 2016 23:18

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesisitiza kuendeleza mapambano ya Intifadha ya Wapalestina katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa Intifadha ya Quds.

  • HAMAS: Intifadha ya Quds itaendelea

    HAMAS: Intifadha ya Quds itaendelea

    Sep 12, 2016 23:45

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuna ulazima wa kuendelezwa Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS