-
Hamas yamtaka Mahmoud Abbas asitishe ukandamizaji
Sep 04, 2016 03:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka kusitishwa ukandamizaji unoafanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa wanachama wa harakati hiyo.
-
Hamas yaanza rasmi shughuli zake nchini Algeria
Aug 29, 2016 23:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuanza rasmi shughuli zake huko Algeria.
-
Wanachama kadhaa wa Hamas wanashikiliwa jela Misri
Aug 23, 2016 03:49Wanachama kadhaa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefungwa katika jela za usalama huko Misri.
-
Mash'al: Upo udharura kwa Wapalestina kuwa kitu kimoja
Jul 29, 2016 22:09Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa damu za mashahidi wa Kipalestina zinatilia mkazo kuwepo umoja kwa lengo la kupambana na adui Mzayuni.
-
Hamas yaonyesha silaha zake katika vita vya siku 50 na Israel
Jul 23, 2016 12:01Brigedi ya Izuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeonyesha silaha zake mbalimbali ilizotumia katika vita vya siku 50 dhidi ya adui Mzayuni mwaka 2014.
-
Hizbullah, Hamas zalaani shambulizi la kigaidi Nice
Jul 16, 2016 02:18Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) zimelaani shambulizi la kigaidi lililofanyika katika mji wa Nice nchini Ufaransa.
-
Hamas: Facebook inahudumia malengo ya Wazayuni
Jul 16, 2016 02:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa mtandao wa kijamii wa Facebook unafuata siasa na sera za kiadui za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Utawala wa Kizayuni wa Israel ataka viongozi wa Hamas watekwe nyara
Jul 08, 2016 22:59Waziri mmoja katika utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Hamas inayotawala Ukanda wa Ghaza watekwe nyara.
-
Hamas: Idi ya kweli ya Wapalestina ni kukombolewa Quds tukufu
Jul 06, 2016 03:19Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema kuwa harakati hiyo itadumisha mapambano yake dhidi ya utawala ghasibu wa Israel hadi Palestina itakapokombolewa.
-
HAMAS: Tuna matumaini ya kivuko cha Rafah kufunguliwa moja kwa moja
Jun 17, 2016 00:12Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema wana matumaini ya kufunguliwa moja kwa moja kivuko cha Rafah ambacho ni kivuko muhimu zaidi kinachounganisha eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina na ulimwengu wa nje.