-
HAMAS: Shambulio dhidi ya Wazayuni ni jibu kwa kushtadi jinai za Israel
Jun 08, 2016 23:50Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema operesheni ya shambulio lililotekelezwa dhidi ya Wazayuni ni matokeo ya jinai zilizoshtadi za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Hamas yakaribisha juhudi za kufikia umoja wa kitaifa Palestina
May 29, 2016 02:55Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas amekaribisha juhudi zozote zenye lengo la kufanikisha umoja wa kitaifa na kuhitimisha mgawanyiko na hitilafu za ndani kati ya Wapalestina.
-
Hamas yasisitiza tena udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya uvamizi wa Israel
May 11, 2016 11:07Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza juu ya udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali
May 06, 2016 23:50Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mashambulizi yake mapya katika Ukanda wa Gaza huku uvamizi huo mpya wa Tel Aviv katika eneo hilo ukiingia siku yake ya nne Jumamosi.
-
Jeshi la Israel laanzisha mashambulizi dhidi ya kambi za Hamas, Gaza
May 04, 2016 22:14Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limeshambulia kwa makombora minara ya kijeshi inayomilikiwa na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS yatilia mkazo umuhimu wa uungaji mkono wa Iran kwa kambi ya muqawama
Apr 28, 2016 10:43Osama Hamdan, Mkuu wa uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuna udharura wa kuzidishwa uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kambi ya muqawama ili kupunguza machungu na mateso wanayopata Wapalestina kutokana na muendelezo wa siasa za kidhalimu za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS yaiomba OIC ichukue hatua za kuisaidia Palestina
Apr 14, 2016 23:45Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeiomba Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ilisaidie taifa la Palestina katika kukabiliana na uvamizi na ukaliaji wa mabavu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Mapambano ndio njia pekee ya kuwakomboa mateka wa Kipalestina
Apr 04, 2016 23:53Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mapambano ndio njia pekee ya kuwakomboa mateka wa Kipalestina walioko katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas yakana kuzungumza na Misri kuhusu askari mateka wa Israel
Apr 04, 2016 12:00Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amekanusha madai ya kuwepo aina yoyote ya mazungumzo baina ya harakati hiyo na Misri kuhusu askari wa Israel wanaoshikiliwa mateka na Hamas.
-
Hamas yasisitiza kukombolewa Palestina
Mar 30, 2016 23:50Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuwa mapambano ndio njia pekee ya kukomboa ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni wa Isarel.