-
Hamas yakana kuzungumza na Misri kuhusu askari mateka wa Israel
Apr 04, 2016 12:00Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amekanusha madai ya kuwepo aina yoyote ya mazungumzo baina ya harakati hiyo na Misri kuhusu askari wa Israel wanaoshikiliwa mateka na Hamas.
-
Hamas yasisitiza kukombolewa Palestina
Mar 30, 2016 23:50Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuwa mapambano ndio njia pekee ya kukomboa ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni wa Isarel.
-
Fat-h na Hamas zaafikiana kutekeleza maelewano ya kitaifa
Mar 30, 2016 02:31Mwakilishi wa Harakati ya Fat-h huko Ghaza amesema kuwa hakuna makubaliano mapya katika ajenda ya kazi, bali kile kilichopo ni kufikiwa makubaliano kuhusu utekelezaji wa maelewano ya kitaifa ya Palestina.
-
Misri yatoa sharti kwa Hamas la kufanikisha maridhiano ya Wapalestina
Mar 27, 2016 10:03Gazeti la Ra'yul-Yaum linalochapishwa London, Uingereza limeripoti kuwa serikali ya Misri imetoa masharti kwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ili kutekeleza maombi ya harakati hiyo.
-
HAMAS: Intifadha itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe
Mar 25, 2016 21:12Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Intifadha ya Quds itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe.
-
Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza
Mar 23, 2016 21:42Wapiganaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ukanda wa Gaza kwa shabaha ya kuzidisha utayarifu wao kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya aina yoyote ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas yalaani ukatili unaofanywa na Wazayuni
Mar 20, 2016 22:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto nyumba ya shahidi pekee wa jinai ya kuchomwa moto nyumba na familia ya al Sa'ad Dawabsheh na kuteketezwa watu wa familia hiyo wakiwa hai.
-
Hamas: Tel Aviv inataka kupotosha watu kuhusu mapambano ya Intifadha
Mar 14, 2016 04:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamasi imetangaza kuwa lengo la mashambulizi yaliyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni kuwafanya walimwengu wasitilie maanani na kuzingatia mapambano ya Intifadha ya Quds Tukufu.
-
HAMAS kuendeleza juhudi za kuleta umoja baina ya Wapalestina
Mar 07, 2016 23:42Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo itaendelea kufanya juhudi ili ufikiwe umoja na kukombolewa ardhi zote za Palestina.
-
Hamas yaionya Israel kuhusu vita
Feb 26, 2016 23:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kuibuka tetesi kuwa utawala huo unapanga kuanzisha vita vipya dhidi ya Ukanda wa Ghaza.