-
Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka
Aug 12, 2018 14:48Waislamu nchini Canada wamefanya maandamano wakipinga siasa za utawala wa kifalme wa Saudi Arabia za kuwazuia kwenda kutekeleza ibada ya Hija katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
-
Saudia yashitakiwa UN kwa kuingiza siasa katika ibada ya Hija
Jul 18, 2018 02:31Kamati ya Kimataifa ya Kusimamia Haram Mbili za Makka na Madina imewasilisha barua mbili tofauti kwa Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa na Kamisheni ya Kidini na Uhuru wa Kujieleza ya Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, ikiishitaki Saudi Arabia kwa kuingiza masuala ya siasa katika ibada ya Hija sambamba na kuweka mipaka ya uhuru wa kidini.
-
Ibada ya Kimaanawi na kisiasa ya Hija kwa mtazamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jul 17, 2018 07:49Wasimamiaji na wafanyakazi wa Idara ya Masuala ya Ibada ya Hija jana asubuhi walikutana na Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kukaribia ibada hiyo na kuanza mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kuelekea katika ardhi ya wahyi.
-
Qatar kuiburuza Saudia mahakamani kwa tuhuma za kuingiza siasa katika ibada ya Hijah
Jul 04, 2018 04:24Serikali ya Qatar na katika mfululizo wa kufuatilia masuala ya kisheria na kimataifa dhidi ya nchi za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri, imetangaza kwamba imefungua mashitaka dhidi ya Riyadh kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingiza siasa katika ibada ya Hijjah.
-
Jumuiya ya Maimamu Tunisia: Saudia inatumia mapato ya Hija kushambulia nchi za Waislamu
Jun 22, 2018 03:46Jumuiya ya Maimamu wa Swala za Jamaa nchini Tunisia imetoa taarifa ikisisitiza kuwa Saudi Arabia inatumia mapato yanayotokana na ibada ya Hija kwa ajili ya kuzishambulia nchi nyingine za Kiislamu na imemtaka Mufti Mkuu wa nchi hiyo kusimamisha safari za kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu huko Saudia.
-
Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah waendelea na amali za Hija
Sep 02, 2017 15:02Zaidi ya mahujaji milioni moja wanaendelea na amali tukufu za Hija katika mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia.
-
Mahujaji
Aug 31, 2017 05:55Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah
-
Mgogoro wa Riyadh na Doha wasababisha idadi ya Mahujaji wa Qatar kupungua
Aug 29, 2017 07:35Athari za mgogoro kati ya Doha na Riyadh zimeathiri pakubwa idadi ya Mahujaji wa Qatar walioenda kutekeleza ibada tukufu ya Hijja mwaka huu nchini Saudi Arabia.
-
Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudia kutekeleza Ibada ya Hija
Aug 25, 2017 07:44Zaidi ya Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudi Arabia hadi hivi sasa kwa ajili ya kutekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija ambayo inaanza wiki ijayo.