-
Taarifa mpya zafichuliwa kuhusu mtandao wa kijasusi wa Israel dhidi ya Hizbullah
Feb 24, 2022 03:04Gazeti la al Akhbar la Lebanon limefichua taarifa mpya kuhusu operesheni za moja ya mitandao ya ujasusi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini Lebanon dhidi ya harakati ya muqawama ya nchi hiyo ya Hizbullah.
-
Operesheni ya droni ya Hizbullah; kusambaratika mfumo wa ulinzi wa utawala wa Kizayuni
Feb 22, 2022 02:40Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Ijumaa iliyopita ilitoa taarifa na kutangaza kuwa ndege isiyo na rubani (droni) iliyopewa jina la Hassan imepaa katika anga ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa muda wa dakika 40 na katika umbali wa kilomita 70 na kisha ikarejea Lebanon baada ya kufanya kazi yake kwa mafanikio.
-
Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon
Jan 16, 2022 02:44Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon.
-
George Kordahi: Hizbullah ndio tatizo hasa kwa Saudia katika uhusiano wake na Lebanon
Nov 19, 2021 11:47Waziri wa Habari wa Lebanon amesema, tatizo hasa la Saudi Arabia na nchi yake halitokani na matamshi aliyotoa yeye hivi karibuni, bali linahusiana na harakati ya muqawama ya nchi hiyo, Hizbullah.
-
Hizbullah: Saudia inataka kuudhoofisha muqawama Lebanon
Nov 15, 2021 11:43Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema lengo kuu la Saudi Arabia kuibua mzozo wa kidiplomasia baina ya Lebanon na nchi za Ghuba ya Uajemi ni kudhoofisha mrengo wa muqawama na kulipigisha magoti taifa hilo la Kiarabu.
-
Hizbullah yaitaka Saudia iache kuingilia mambo ya ndani ya Lebanon
Nov 11, 2021 08:03Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameitaka Saudi Arabia ikome kabisa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo, huku mgogoro wa kidiplomasia baina ya nchi mbili hizo za Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Hizbullah yaitaka Saudia iiombe radhi Lebanon
Nov 06, 2021 03:25Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia inapaswa kuliomba radhi taifa la Lebanon kutokana na mienendo yake ya kiuhasama dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya makundi ya muqawama Asia Magharibi
Nov 02, 2021 12:23Faisal bin Farhan al-Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema katika mahojiano na Kanali ya Televisheni ya al-Arabiya kwamba, matatizo na mvutano wa nchi yake na Lebanon ni zaidi ya matamshi ya waziri wa habari wa nchi hiyo, kwani Saudia haikubaliani kabisa na suala la kupata nguvu waitifaki wa Iran nchini Lebanon na katika eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Hizbullah yaikosoa Marekani kwa kuingilia uchunguzi wa mlipuko wa Bandari ya Beirut
Oct 13, 2021 12:55Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutia pua katika uchunguzi juu ya mlipuko uliotokea mwaka jana katika Bandari ya Beirut.
-
Mufti wa Lebanon: Hizbullah imetuletea fakhari; Marekani ni gonjwa la saratani la Lebanon
Sep 02, 2021 07:29Mufti wa Waislamu wa Kishia nchini Lebanon amesema kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ni fahari kwa Lebanon na kwamba, kama kuna saratani nchini humo na ulimwenguni, basi saratani hiyo ni Marekani na wafuasi wake.