-
Nasrullah: Hizbullah imejiandaa kutoa jibu zito kwa uchokozi wa Israel
Aug 08, 2021 07:54Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama haitaki vita, lakini pia haigopi vita kwa kuwa ina uhakika wa kuibuka mshindi iwapo vitaibuka.
-
Sheikh Naim Qassim: Tuhuma dhidi ya Hizbullah zina matashi ya kisiasa na lengo na kuipaka matote harakati hiyo
Aug 06, 2021 02:22Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tuhuma za baadhi ya pande dhidi ya harakati hiyo ni za kisiasa na lengo lake ni kuipaka matope harakati hiyo.
-
Kataib Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi askari wa mwisho wa Marekani atakapoondoka Iraq
Jul 09, 2021 08:05Afisa wa Batalioni ya Kataib Hizbullah nchini Iraq amesema kuwa mapambano dhidi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo yataendelea hadi wanajeshi wote wa nchi hiyo watakapoondoka katika ardhi ya Iraq.
-
Kataib Hizbullah: Saudia inahusika na hujuma zinazolenga mtandao wa umeme wa Iraq
Jul 08, 2021 04:20Harakati ya Kataib Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa mashirika ya ujasusi ya Saudi Arabia yanahusika na mashambulio ya kigaidi yanayolenga na kuharibu mtandao wa kusambaza umeme nchini humo.
-
Haniya na Nasrullah wajadili njia za kupata 'ushindi wa mwisho' dhidi ya Israel
Jun 30, 2021 02:23Viongozi wakuu wa mrengo wa muqawama wa Palestina na Lebanon wamejadili kipigo cha hivi karibuni cha Wapalestina wa Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, sanjari na kubadilishana mawazo juu ya njia zinazopaswa kufuatwa ili kupata 'ushindi mutlaki' dhidi ya utawala huo haramu.
-
Nasrullah: Kuteka tovuti za muqawama kumefichua unafiki wa Marekani
Jun 26, 2021 12:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha Marekani cha kuteka na kufunga tovuti kadhaa za vyombo vya habari vya kambi ya muqawama kimedhihirisha unafiki wa Marekani inayodai kuwa mtetezi mkubwa wa demokrasia na uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya habari.
-
Upatanishi wa Hizbullah kwa ajili ya kupunguza mivutano ya kisiasa nchini Lebanon
Jun 26, 2021 02:30Vyanzo vya habari vimetangaza habari ya juhudi zinazofanywa na Chama cha Hizbullah ya Lebanon kwa madhumuni ya kuwapatanisha Rais na Spika wa Bunge la Lebanon na vile vile makundi ya kisiasa ya nchi hiyo kwa ajili ya kupunguza mivutano na kufikia muwafaka kuhusu namna ya kubuni serikali mpya ya nchi hyo.
-
Hizbullah: Ukombozi wa Quds umekaribia zaidi ya wakati wowote ule
May 06, 2021 12:45Mkuu wa Baraza Kuu la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ukombozi wa Quds tukufu umejongea wakati huu, kuliko wakati mwingine wowote ule.
-
Russia na Hizbullah zataka kufunguliwa ofisi ya uwakilishi Moscow
Apr 07, 2021 07:42Serikali ya Russia na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon zinatafakari kuhusu uwezekano wa kufunguliwa ofisi ya uwakilishi ya harakati hiyo ya muqawama katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Naim Qassim: Kushikamana Waislamu kumesambaratisha njama za US-Israel
Apr 01, 2021 10:35Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuungana na kushikamana Waislamu pasina kujali tofauti zao za kimitazamo na kiitikadi kumesambaratisha njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kuyagawanya vipande vipande mataifa ya Kiislamu.