-
Hizbullah: Inashangaza kuona waungaji mkono wa ugaidi wakiuhusisha muqawama na ugaidi
May 29, 2017 09:22Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika eneo la Beqaa amesema kuwa, anashangazwa na Marekani kuutuhumu muqawama na ugaidi katika hali ambayo ni nchi hiyo ndiyo inayouunga mkono ugaidi wa utawala haramu wa Israel.
-
Hizbullah: Safari ya Trump Saudia ni ya kiwendawazimu
May 21, 2017 09:35Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeitaja safari ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Saudi Arabia kama ya kiwendawazimu na ambayo haitakuwa na tija yoyote kwa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mrengo wa Hizbullah Lebanon: Msaada wa Marekani kwa utawala wa Saudia utaishia patupu
May 19, 2017 11:53Mrengo unaoitwa "Uaminifu kwa Muqawama" katika bunge la Lebanon umesema kuwa, hatua ya Saudia kujiegemeza kwenye misaada ya Marekani inabainisha wazi kuendelea siasa za kichokozi na zilizofeli za utawala wa Aal-Saud katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati
Apr 28, 2017 10:10Katibu Mkuu wa Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema: "Maadui hatimaye watasalimu amri kuhusu utatuzi wa kisiasa wa kadhia ya Syria na kwa yakini utawala haramu na wa kigaidi wa Israel hauna nafasi katika mustakabali wa Mashariki ya Kati."
-
Hizbullah: Israel itashindwa vibaya zaidi katika vita vipya
Apr 21, 2017 03:06Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema kuwa, uwezo wake wa kijeshi ni jambo ambalo limeuzuia utawala haramu wa Israel kuanzisha hujuma na mashambulizi mapya dhidi ya nchi hiyo.
-
Hizbullah na Hamas zalaani hujuma za kigaidi dhidi ya makanisa huko Misri
Apr 09, 2017 23:48Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imelaani vikali miripuko ya kigaidi katika makanisa mawili nchini Misri iliyosababisha mauaji, na kwamba hujuma hizo dhidi ya Wakristo ni za kishenzi.
-
Serikali ya Lebanon: Tunaihitajia sana Hizbullah kwa ajili ya ulinzi wa nchi
Mar 10, 2017 23:04Waziri Mshauri katika Masuala ya Ikulu ya Rais wa Lebanon, amesema kuwa nchi hiyo inaihitajia sana Harakati ya Hizbullah kwa ajili ya kukabiliana na kuzuia hujuma za utawala haramu wa Israel na makundi ya kigaidi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Hizbullah yaipongeza Iran kwa kuunga mkono Palestina
Feb 21, 2017 01:15Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Palestina wakati nchi zingine zimeegemea upande wa utawala haramu wa Israel.
-
Balozi wa Russia Lebanon: Hizbullah imetoa mchango muhimu katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 21, 2017 00:35Balozi wa Russia nchini Lebanon Alexander Zasypkin ametangaza kuwa tangu Hizbullah ilipoasisiwa hadi hivi sasa imekuwa ni harakati ya muqawama na imetoa mchango muhimu katika mapambano dhidi ya ugaidi nchini Syria na katika kuleta uthabiti nchini Lebanon.
-
Lebanon: Hatua yoyote ya kichokozi ya Israel itapata jibu kali
Feb 19, 2017 03:05Rais Michel Aoun wa Lebanon ameonya kuwa, iwapo utawala haramu wa Israel utachukua hatua yoyote ya kukanyaga uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu, basi ujiandae kwa jibu kali.