-
Hizbullah: Nchi za Kiarabu zishirikiane na Iran kwa maslahi ya Ghuba ya Uajemi
Feb 12, 2017 03:37Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa wito kwa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lengo la kurejesha amani na uthabiti katika eneo hili.
-
Nasrullah: Misimamo ya kuchupa mipaka inataka kuchafua taswira halisi ya Uislamu
Dec 23, 2016 12:54Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesema harakati za magenge ya kigaidi na kitakfiri yanayofanya jinai za kutisha eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika hazina mafungamano yoyote na Uislamu na shakhsia wake mbora na mtukufu, Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Bassil apongeza nafasi chanya ya Hizbullah katika uchaguzi wa Rais wa Lebanon
Nov 01, 2016 04:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amesifu nafasi chanya ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana.
-
Hizbullah Lebanon: Wanamuqawama wetu wanapambana na mabeberu wa dunia Syria
Oct 20, 2016 01:02Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu nchini Lebanon Hizbullah, amesema kuwa wanamapambano wa harakati hiyo wanapambana na mabeberu wa dunia nchini Syria.
-
Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni
Sep 27, 2016 10:38Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Zarif aipongeza Lebanon kwa kuipigisha magoti Israel
Aug 15, 2016 03:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua mwenzake wa Lebanon kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 10 ya ushindi wa nchi hiyo dhidi ya askari vamizi wa utawala haramu wa Israel.
-
Nasrullah: Makundi kigaidi yanatumikia maslahi ya Marekani
Aug 14, 2016 02:31Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka makundi ya kigaidi na kitakfiri kuweka chini silaha na yatambue kuwa harakati zao hazina maslahi kwa yeyote isipokuwa adui Marekani.
-
Hizbullah, Hamas zalaani shambulizi la kigaidi Nice
Jul 16, 2016 02:18Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) zimelaani shambulizi la kigaidi lililofanyika katika mji wa Nice nchini Ufaransa.
-
Hizbullah: Magaidi wanaoungwa mkono na Saudia na US, hatari M/Kati
Jun 24, 2016 22:41Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono kwa hali na mali na Saudia na Marekani yanatishia usalama wa eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Vita Syria si vya Shia na Suni, Saudi Arabia inazuia ukombozi wa Palestina
Jun 14, 2016 09:49Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Saudi Arabia sasa imekuwa kizingiti kikubwa katika ukombozi wa Palestina.