-
Hizbullah ya Lebanon yazindua kituo cha makombora cha Emad 5
Nov 04, 2024 08:27Hizbullah ya Lebanon imezindua picha za kituo cha makombora cha chini ya ardhi cha Emad 5.
-
Kuendelea mafanikio ya Hizbullah ya Lebanon katika makabiliano na jeshi la Kizayuni.
Nov 04, 2024 07:59Hizbullah ya Lebanon inatekeleza vyema operesheni zake za kijeshi dhidi ya jeshi la Kizayuni katika nyanja mbalimbali.
-
Hizbullah yawatwanga tena Wazayuni kwa zaidi ya makombora 100 + Video
Nov 04, 2024 02:59Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwamba kwa uchache makombora 100 ya Hizbullah ya Lebanon yametwanga vituo vya kijeshi vya Israel katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Qaani: Kikosi cha Quds cha IRGC kitakuwa pamoja na Hizbullah hadi kuangamizwa Uzayuni
Nov 01, 2024 03:41Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amempongeza Sheikh Naim Qassim kwa kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na kusema: Kikosi cha Quds kitakuwa pamoja na Hizbullah hadi utakapotokomezwa mti habithi wa Uzayuni na kukombolewa Palestina na Quds Tukufu.
-
Hizbullah yafanya shambulio la makombora katika vitongoji vinne vya walowezi wa Kizayuni
Oct 31, 2024 03:37Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imeshambulia kwa makombora vitongoji vinne vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Biden ataja sharti la kuiruhusu Ukraine kuwashambulia wanajeshi wa Korea Kaskazini
Oct 30, 2024 23:04Rais Joe Biden wa Marekani amesema, vikosi vya Ukraine vinapaswa kuwashambulia wanajeshi wa Korea Kaskazini ikiwa watavuka mpaka na kuingia kwenye ardhi ya Ukraine.
-
Sheikh Naim Qassim ateuliwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 29, 2024 07:22Sheikh Naim Qassim aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati hiyo ya mapambano baada ya mtangulizi wake Sayyid Hassan Nasrullah kuuawa shahidi katika hujuma ya Israel kusini mwa Beirut, mwezi uliopita.
-
Hizbullah ya Lebanon yathibitisha kuuawa shahidi Sayyid Hashim Safiyyuddin
Oct 23, 2024 22:44Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kuthibitisha kuuawa shahidi Mkuu wake wa Baraza la Utendaji katika shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni kwenye kitongoji Adh-Dhaahiyah Kusini katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Hizbullah yavipiga makombora viwanja vya ndege vya Ben Gurion na Ramat David, Tel Aviv
Oct 23, 2024 09:27Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon wameshambulia kwa makombora kadhaa viwanja vya ndege vya Ben Gurion na Ramat David katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni yaliyopachikwa jina bandia la Israel.
-
Wanajeshi 15 wa Kizayuni wajeruhiwa katika mashambulizi ya makombora ya Hizbullah
Oct 21, 2024 07:54Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imeyashambulia kwa makombra maeneo mbalimbali ya utawala wa Kizayuni na kuwajeruhi wanajeshi 15 wa utawala huo.