-
Hizbullah yafanya mashambulio makubwa dhidi ya vituo vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni
Oct 20, 2024 03:17Katika kuendeleza operesheni zake za kuzuia hujuma, Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulio makali ya makombora na mizingia yaliyolenga ngome za Wazayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Hizbullah yazindua mtambo mpya wa makombora
Oct 19, 2024 23:13Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imezindua mtambo wake wa maroketi wa M80 maalumu kwa kurushia maroketi ya kushambulia adui kutoka ardhini hadi ardhini.
-
Ujenzi wa "nyumba zinazohamishika" huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa kuhofia makombora ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 17, 2024 04:22Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kutengeneza nyumba zinazohamishika kutokana na wasi wasi wa kuenea mashambulizi ya makombora ya Hizbullah ya Lebanon, ili kuendeleza shughuli za viwanda vya kaskazini mwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Kushindwa Wazayuni kukabiliana na oparesheni za kibunifu za Hizbullah ya Lebanon
Oct 14, 2024 08:33Shambulio la ubunifu la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon katika makao makuu ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, kwa mara nyingine tena limefichua kushindwa na udhaifu wa Wazayuni mkabala wa oparesheni za kijeshi za makundi ya muqawama.
-
Hizbullah; urithi wa kudumu wa Sayyid Hassan Nasrallah
Oct 10, 2024 05:11Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinachunguza shambulizi na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah...
-
Hizbullah; imara zaidi kuliko wakati wowote
Oct 06, 2024 23:11Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu ambacho kitazungumzia jinsi Hizbullah ya Lebanon ilivyokuwa imara na madhubuti hii leo kuliko wakati mwingine wowote.
-
Hizbullah yashambulia kampuni ya viwanda vya kijeshi vya Israel
Oct 06, 2024 03:58Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mabomu kampuni ya viwanda vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni ya "ETA".
-
Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina
Oct 03, 2024 07:30Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jioni ya Ijumaa (tarehe 6 Oktoba 2024) lilifanya mashambulizi ya kikatili ambayo hayajawahi kutokea katika viunga vya kusini mwa Beirut nchini Lebanon.
-
Shambulio la Hizbullah laangamiza wanajeshi 14 wa Israel
Oct 03, 2024 05:46Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia vituo viwili vya kijeshi vya utawala wa Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani na kuua wanajeshi 14 wa utawala huo.
-
Hizbullah ya Lebanon yawatwanga tena kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni
Oct 01, 2024 10:28Wanamapambano wa Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon wamefanya mashambulizi mengine makali kwa kulitwanga kwa makombora eneo walipokuwa wamekusanyika wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.