-
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran: Bendera ya Hizbullah na Muqawama haitaanguka chini
Oct 01, 2024 10:27Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza kuwa bendera ya Hizbullah na Muqawama kamwe haitoanguka chini na amesisitiza kuwa, utawala ghasibu wa Kizayuni na Marekani watenda jinai wafahamu kwamba, hivi sasa Iran itaunga mkono zaidi kambi ya Muqawama kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
-
Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 01, 2024 07:50Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Sheikh Naim Qassim: Tumejiandaa kikamilifu kukabiliana na Israel
Sep 30, 2024 10:40Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo imejiandaa kikamilifu kukabiliana na mashhambulio ya utawala haramu wa Israel.
-
Pretoria: Tunatiwa wasi wasi na mauaji ya kigaidi ya Israel
Sep 29, 2024 10:45Afrika Kusini imetoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mara moja nchini Lebanon, ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel ulianza mashambulio ya anga hivi karibuni, na kuua mamia ya raia huku maelfu ya wengine wakilazimika kuyahama makazi yao.
-
Kiongozi Muadhamu: Wanamuqawama wa Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndio washindi
Sep 25, 2024 10:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi.
-
Nasrullah: Adui Mzayuni amevuka mistari yote myekundu
Sep 19, 2024 23:02Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema maadui wa Kizayuni walivuka mistari yote myekundu siku ya Jumanne kwa kufanya jinai ya kuogofya katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Shambulio la kigaidi la Israel kusini mwa Lebanon laua shahidi mtu mmoja na kujeruhi wengine 13
Sep 14, 2024 07:01Mtu mmoja ameuawa shahidi na wengine 13 kujeruhiwa katika mashambulio la kigaidi la utawala wa kigaidi wa Israel huko kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah: Adui hana chaguo jingine ghairi ya kusitisha vita Gaza
Sep 08, 2024 09:26Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, adui ana njia moja pekee, ambayo ni kusimamisha hujuma na mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Idadi ya vifo Ghaza yapindukia 40,900 baada ya jeshi la Israel kuua Wapalestina wengine 61
Sep 07, 2024 08:22Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wengine 61 katika mashambulizi kwenye Ukanda wa Ghaza, na kuongeza idadi ya vifo kufikia 40,939 tangu Oktoba 7, 2023. Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa leo na Wizara ya Afya ya Ghaza.
-
Walowezi wa Kizayuni wapiga muziki na kufanya ibada zao kwenye eneo la Msikiti wa Ibrahimi
Sep 03, 2024 23:09Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeruhusu maelfu ya walowezi haramu kufanya tamasha la muziki na ibada zao katika eneo la Msikiti wa Ibrahimi ulioko kwenye mji wa Al-Khalil, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu baada ya kuufunga Msikiti huo usitumiwe na Waislamu Wapalestina.