-
Matokeo ya operesheni 2,500 za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon dhidi ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu
Aug 05, 2024 11:41Katika siku 300 zilizopita tangu kuanza hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza, Hizbullah ya Lebanon imelenga shabaha maeneo mbalimbali utawala huo katika operesheni za kijeshi 2,500.
-
Hizbullah yafanya mashambulizi mapya dhidi ya Israel; ving'ora vyalia mtawalia + VIDEO
Aug 04, 2024 03:54Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza kuwa, ving'ora vilisikika mtawalia jana, kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, kutokana na mashambulizi makali yaliyofanywa na Hizbullah ya Lebanon.
-
Hizbullah: Mauaji ya Haniya yataimarisha zaidi azma ya wanamapambano ya kukabiliana na adui
Jul 31, 2024 23:46Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kusisitiza kwamba, kuuawa shahidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya HAMAS kutaimarisha zaidi azma ya wapiganaji wa Muqawama ya kukabiliana na adui Mzayuni.
-
Kharazi: Madai ya Israel ya kuhusisha tukio la Golan na Hizbullah ni njama na kichekesho
Jul 30, 2024 08:21Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Mahusiano ya Kigeni la Iran ameyataja madai taliyotolewa na Israel ya kulihusisha tukio la Golan inayokaliwa kwa mabavu na Hizbullah kuwa ni kichekesho.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon
Jul 29, 2024 02:47Ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo tofauti ya kusini mwa Lebanon.
-
Iran yaionya Israel dhidi ya 'chokochoko mpya' kuhusu Lebanon
Jul 28, 2024 07:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametahadharisha kuhusu chokochoko yoyote mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel mkabala wa Lebanon.
-
Hizbullah ya Lebanon yashambulia vitongoji vya Wazayuni
Jul 21, 2024 23:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena imekishambulia kwa makombora kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Dona, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Mwanadiplomasia wa Iran atahadharisha kuhusu taathira za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon
Jul 02, 2024 08:23Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran ametahadharisha kuhusu mashambulizi yanayoweza kuanzishwa na utawala unaotekeleza mauaji ya kimbari wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Kuondolewa Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya magaidi ya Arab League, matunda ya kikanda ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Jul 01, 2024 23:06Baada ya miaka 8 kupita, hatimaye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeliondoa jina la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha yake ya kigaidi.
-
Hizbullah ya Lebanon yaendelea kushambulia maeneo ya jeshi la utawala wa Kizayuni
Jun 27, 2024 04:37Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena wamelenga na kusababisha maafa na uharibifu mkubwa katika maeneo ya wanajeshi wa Kizayuni kwenye mpaka wa nchi hiyo na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.