Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imam Husain

  • Karbala yajiandaa kwa ajili ya mamilioni ya mazuwari wa Siku ya Ashura

    Karbala yajiandaa kwa ajili ya mamilioni ya mazuwari wa Siku ya Ashura

    Jun 23, 2026 13:20

    Mamlaka za Iraq zinajitayarisha kwa ajili ya kupokea mamilioni ya mazuwari wa Waislamu wanaoendelea kumiminika katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya siku za Tasu'a na Ashura na kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS).

  • Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti

    Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti

    Oct 10, 2019 12:06

    Baada ya shirika la utangazaji la utawala wa kifalme wa Uingereza BBC kusambaza mkanda wa video uliojaa chuki na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia na dhidi ya matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS, banda hilo la propaganda la ufalme wa Uingereza limekumbwa na ukosoaji mkali. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania

  • Marasimu ya Kimataifa ya

    Marasimu ya Kimataifa ya "Watoto Wanaonyonya wa Hussein" yafanyika katika nchi zaidi ya 40

    Sep 06, 2019 03:43

    Marasimu ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein a.s" yamefanyika leo Ijumaa katika zaidi ya maeneo elfu sita katika Iran ya Kiislamu na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.

  • Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Oct 26, 2018 10:08

    Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS