-
Leo ni siku ya Ashura ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume, Imam Husain AS
Sep 20, 2018 03:53Alkhamisi ya leo ya tarehe 20 Septemba 2018 Milaadia inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1440 Hijria, siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Husain AS.
-
Leo ni siku ya Ashura, Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran inatoa mkono wa pole kwa wapenzi wote wa Mtume Muhammad SAW
Oct 01, 2017 04:01Jumapili ya leo inasadifiana na mwezi 10 Muharram 1439 Hijria, siku ya kukumbuka wakati damu ilipoushinda upanga kwa ushujaa wa Imam Husain AS na wafuasi wake wachache katika jangwa la Karbla la Iraq ya leo.
-
Waislamu wa madhehebu ya Shia leo wanaadhimisha siku ya Tasu'a
Sep 30, 2017 16:43Waislamu wa madhehebu ya Shia na wapenzi wa watu wa familia ya Mtume Muhammad (saw) kote duniani leo wanaadhimisha siku ya Tusu'a kabla ya siku ya Ashura aliyouawa shahidi ndani yake mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as).
-
Wairani waungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 20, 2016 08:17Wananchi wa matabaka yote wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na dunia katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, aliyeuawa shahidi katika jangwa la Karbala nchini Iraq, mwaka wa 61 Hijria.
-
Waislamu duniani wakumbuka kuuawa Shahidi Imam Hussein AS
Oct 12, 2016 03:10Leo Jumatano inasadifiana na tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram, siku ya Ashura ya mapambano ya Imam Husain AS huko Karbala. Maombolezo ya kukumbuka siku hiyo ya majonzi yanawashirikisha Waislamu na hata wasiokuwa Waislamu kote duniani.