-
Spika wa Bunge la Iran: Imarati imejidhalilisha kwa kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Aug 14, 2020 22:29Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa makubaliano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano baina ya pande hizo mbili ni ya kijidhalilisha na ni usaliti kwa thamani za Umma wa Kiislamu na malengo ya taifa la Palestina.
-
Muungano wa Maulama wa Kiislamu: Hatua ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel ni usaliti mkubwa
Aug 14, 2020 22:28Jumuiya ya Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu imelaani makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel yaliyofikiwa kwa upatanishi wa Marekani.
-
Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel
Aug 14, 2020 05:04Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa balozi wa Palestina mjini Abu Dhabi ameitwa nyumbani kulalamikia hatua ya Imarati ya kuanzisha rasmi uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 14, 2020 04:29Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, utawala ghasibu wa Israel na Marekani zimetoa taarifa ya pamoja zikitangaza kwamba Imarati na utawala haramu wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yazo.
-
Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yalaani mapatano ya kuaibisha ya UAE na Israel
Aug 13, 2020 22:43Makundi ya kupigania ukombozi wa Paelstina yametoa taarifa kadhaa za kulaani vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Imarati yafanya njama za kubadili utambulisho wa kisiwa cha Socotra
Aug 13, 2020 22:28Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ambayo umekivamia na kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Socotra huko Yemen unafanya mikakati ya kubadili utambulisho wa kisiwa hicho.
-
Mpango wa Saudia na UAE wa kutorosha magaidi walioko gerezani Iraq
Aug 01, 2020 07:01Mbunge mmoja nchini Iraq amefichukua kuhusu mpango wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu wa kutorosha wafungwa katika jela ya al Hoot nchini Iraq
-
Ufaransa kufungua mashtaka dhidi ya mrithi wa mtawala wa Abu Dhabi kwa kuhusika na mateso Yemen
Jul 18, 2020 22:20Viongozi wa Ufaransa wameamua kufanya uchunguzi juu ya madai kwamba mrithi wa mtawala wa Abu Dhabi, Mohammed bin Zayed Al Nahyan amehusika katika vitendo vya mateso huko Yemen, ambako Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) pamoja na Saudi Arabia na washirika wao, wamekuwa wakipigana vita vya umwagaji damu vya miaka mingi dhidi ya taifa la Yemen.
-
Waitifaki wa Saudia na Imarati waendelea kutwangana risasi na kuuana nchini Yemen
Jul 15, 2020 09:24Mapigano kati ya wanamgambo wa Baraza la Mpito linaloungwa mkono na Imarati na wale wanaoungwa mkono na Saudi Arabia katika mkoa wa Abyan kusini mwa Yemen yameshtadi na kupamba moto.
-
Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya
Jul 09, 2020 21:54Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.