Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Tamim: Wakati umefika wa kuweka wazi uhusiano wa Israel na Waarabu

    Tamim: Wakati umefika wa kuweka wazi uhusiano wa Israel na Waarabu

    Jun 08, 2020 02:35

    Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi la Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu ameibua mijadala na wimbi la malalamiko baada ya kutoa mwito kwa nchi za Kiarabu kuufanya wa kawaida uhusiano wao na utawala haramu wa Israel.

  • Ripoti ya UN: Wayemeni zaidi ya milioni 20 wanakabiliwa na hatari ya kupatwa na corona

    Ripoti ya UN: Wayemeni zaidi ya milioni 20 wanakabiliwa na hatari ya kupatwa na corona

    Jun 05, 2020 07:52

    Shirika la Programu na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetangaza kuwa, zaidi ya Wayemeni milioni 20 wanasumbuliwa na njaa ya muda mrefu na wamo katika hatari ya kupatwa na virusi vya corona.

  • Palestina yakataa misaada ya Imarati iliyotumwa kupitia Tel Aviv

    Palestina yakataa misaada ya Imarati iliyotumwa kupitia Tel Aviv

    May 22, 2020 08:02

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa kupokea misaaada iliyotumwa nchini humo na Umoja wa Falme za Kiarabu kupitia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya: Imarati inakiuka sheria za kimataifa

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya: Imarati inakiuka sheria za kimataifa

    May 20, 2020 07:56

    Mwakilishi wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya (GNA) katika Umoja wa Mataifa amesema: Umoja wa Falme za Kiarabu unakiuka sheria za kimataifa kwa kutuma silaha nchini Libya.

  • Serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya yataka kukatwa uhusiano na Imarati

    Serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya yataka kukatwa uhusiano na Imarati

    May 16, 2020 11:02

    Mjumbe wa Baraza la Rais la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya, sambamba na kuashiria ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na uungaji mkono wa Imarati kwa jenerali muasi Khalifa Haftar, ametaka kukatwa uhusiano wa Tripoli na Abu Dhabi.

  • Uturuki: Imarati, Misri na baadhi ya nchi, zimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko

    Uturuki: Imarati, Misri na baadhi ya nchi, zimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko

    May 13, 2020 15:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa maamuzi na hatua mbovu za Imarati, Misri na baadhi ya nchi za Kiarabu na Magharibi, vimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko.

  • HRW: Shambulizi la 'drone' ya Imarati liliua raia 8 Tripoli, Libya

    HRW: Shambulizi la 'drone' ya Imarati liliua raia 8 Tripoli, Libya

    Apr 30, 2020 08:08

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema shambulizi la ndege isiyo na rubani ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya mji mkuu wa Libya, Tripoli mwishoni mwa mwaka jana liliua na kujeruhi raia wasio na hatia.

  • Wanamgambo wa Imarati wajitangazia uhuru kusini mwa Yemen; Answarullah yalaani

    Wanamgambo wa Imarati wajitangazia uhuru kusini mwa Yemen; Answarullah yalaani

    Apr 26, 2020 11:26

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani hatua ya wanamgambo wa Umoja wa Falme za Kiarabu ya kujitangazia uhuru huko kusini mwa Yemen na kusema kuwa, hatua hiyo ni kutangaza kujitoa kikamilifu wanamgambo hao katika makubaliano ya Riyadh kati yao na serikali iliyojiuzulu ya Abdu Rabbuh Mansour Hadi.

  • Msuguano baina na UAE na Saudia washtadi kusini mwa Yemen

    Msuguano baina na UAE na Saudia washtadi kusini mwa Yemen

    Apr 26, 2020 07:47

    Siku chache baada ya kuvunjika mazungumzo baina ya serikali iliyojiuzulu ya Yemen ya Abdrabbuh Mansur Hadi inayoungwa mkono na Saudi Arabia na Baraza la Mpito la Kusini linaloungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu, vibaraka hao wa Imarati wamejitangazia mamlaka ya ndani katika mikoa ya kusini mwa nchi hiyo maskini ya Kiarabu iliyozama kwenye dimbwi la vita.

  • Libya: Watawala wa Imarati ndio wanaosababisha maafa nchini mwetu

    Libya: Watawala wa Imarati ndio wanaosababisha maafa nchini mwetu

    Apr 23, 2020 11:38

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Maridhiano ya Kitaifa ya Libya amesema kuwa, watawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ndio wanaosababisha maafa nchini Libya kutokana na wanamgambo wake walioko chini ya jenerali muasi Khalifa Haftar kutumia gesi za sumu katika mashambulizi yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS