-
Khan aiambia UN: Serikali ya India inaunga mkono chuki dhidi ya Uislamu
Sep 26, 2020 09:06Waziri Mkuu wa Pakistan amesema serikali ya Kihindu ya India inaunga mkono na kuchochea chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
-
Amnesty International: Polisi ya India ilishirikiana na magenge ya Wahindu kuwashambulia Waislamu
Aug 30, 2020 22:03Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi la polisi la India lilifanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa kushirikiana na magenge ya Wahindu wenye misimamo ya kufurutu mipaka kuwashambulia Waislamu katika mji mkuu New Delhi mapema mwaka huu.
-
Katibu Mkuu wa UN aikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo
Aug 22, 2020 22:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo.
-
Baraza la Maulamaa India lataka aliyemvunjia heshima Bwana Mtume SAW achukuliwe hatua
Aug 21, 2020 03:19Baraza la Maulamaa wa Kiislamu wa India limeitaka serikali iwachukulie hatua kali na ya haraka waliomvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Modi azionya China na Pakistan, asema Pakistan ni adui wa kudumu wa India
Aug 15, 2020 21:47Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amezitahadharisha China na Pakistan na kile alichokiita matokeo mabaya ya hatua zao za kuanzisha chokochoko dhidi ya nchi yake.
-
Modi aweka jiwe la msingi la ujenzi wa hekalu mahali ulipobomolewa msikiti wa kihistoria wa India
Aug 05, 2020 23:59Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ameweka jiwe la msingi la uzinduzi wa ujenzi wa hekalu la Wahindu katika mahali ulipokuwepo msikiti wa kihistoria wa Babri ambao ulibomolewa yapata miaka 30 iliyopita na kusababisha machafuko ya umwagaji damu nchini humo.
-
India yazidisha mbinyo na hatua kali za usalama eneo la Kashmir kabla ya kumbukumbu ya Agosti 5
Aug 04, 2020 08:16Serikali ya India imepiga marufuku watu kutoka nje katika eneo la Kashmir na kuzidisha hatua kali za usalama kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu New Delhi ilipofuta mamlaka ya utawala wa ndani katika eneo hilo lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu.
-
Mafuriko yaua 189 India na Nepal, milioni 4 waachwa bila makazi
Jul 19, 2020 06:22Watu wasiopungua 189 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini India na katika nchi jirani ya Nepal.
-
Indhari ya Imran Khan kuhusu mauaji ya Wakashmiri
Jul 13, 2020 05:45Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuhusu mauaji ya Wakashmiri yanayofanywa na wanajeshi wa India.
-
China yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na wanajeshi wa China mpakani
Jun 17, 2020 01:56Msemaji wa Jeshi la China ametoa onyo kali kwa India kuhusu vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.