-
Indhari ya Imran Khan kuhusu mauaji ya Wakashmiri
Jul 13, 2020 05:45Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuhusu mauaji ya Wakashmiri yanayofanywa na wanajeshi wa India.
-
China yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na wanajeshi wa China mpakani
Jun 17, 2020 01:56Msemaji wa Jeshi la China ametoa onyo kali kwa India kuhusu vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.
-
Kukataa India upatanishi wa Marekani katika mzozo wa mpaka kati yake na China
May 31, 2020 04:54Wizara ya Mambo ya Nje ya India imetupilia mbali ombi la rais wa Marekani Donald Trump la kuwa mpatanishi kati ya New Delhi na Beijing kwa ajili ya kutatua tofauti zao za mpakani.
-
India: Madai ya kufanyika mazungumzo ya simu kati ya Narendra Modi na Trump hayana msingi
May 31, 2020 00:11Serikali ya India imeyataja kuwa ya uongo madai ya Rais Donld Trump wa Marekani kwamba amefanya mazungumzo ya simu na Narendra Modi, Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuhusiana na masuala ya mzozo wa mpaka kati yake na China.
-
Kimbunga kikali chaua makumi ya watu India na Bangladesh
May 21, 2020 03:16Kwa akali watu 20 wameaga dunia na mamia ya maelfu ya wengine wameachwa bila ya makazi baada ya kimbunga kikali cha Amphan kupiga maeneo ya pwani ya India na Bangladesh.
-
Imran Khan aonya juu ya njama za India dhidi ya Pakistan
May 19, 2020 20:19Waziri Mkuu wa Pakistan ameonya juu ya njama chafu za India dhidi ya nchi yake.
-
Wasiwasi wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu harakati za kijeshi za India katika mstari wa udhibiti wa Kashmir
May 09, 2020 03:28Waziri Mkuu wa Pakistan ameonyeshaa wasiwasi mkubwa alionao kuhusiana na harakati mpya za kijeshi za India katika mstari wa udhibiti wa Kashmir (Line of Control) na kuongezeka mashambulio ya jeshi la nchi hiyo dhidi ya mstari huo.
-
Wakashmir wafanya maandamano kulaani kuuliwa na askari wa India mmoja wa makamanda wa eneo hilo
May 07, 2020 21:51Kufuatia kuuliwa mmoja wa makamanda wa ngazi za juu wa eneo la Kashmir katika shambulizi lililofanywa na askari wa India, maelfu ya wakazi wa eneo hilo wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai hiyo.
-
Tamko la Kamisheni ya Haki za Binadamu ya OIC la kulaani ukatili wanaozidi kufanyiwa Waislamu wa India
Apr 20, 2020 08:23Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.
-
OIC yalaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India
Apr 19, 2020 22:42Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.