-
Balozi wa Iran: Ulaya ichukue hatua za maana kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Dec 25, 2023 07:12Balozi wa Iran nchini Iraq amesema nchi za Ulaya zinapasa kuchukua hatua za maana kwa ajili ya kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Mazungumzo ya kwanza ya simu baina ya Marais wa Iran na Misri; hatua ya kukuza uhusiano
Dec 24, 2023 04:44Jana Jumamosi, Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alizungumza kwa simu na Rais Abdel Fattah El Sisi wa Misri, ikiwa ni mara ya kwanza kwa marais wa nchi hizi mbili kuzungumza kwa simu na ikiwa ni katika sehemu ya juhudi za kufufua uhusiano wa pande mbili.
-
Marais wa Iran na Misri wahimiza kustawishwa uhusino wa nchi mbili katika nyuga zote
Dec 23, 2023 23:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa simu na rais mwenzake wa Misri na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa uhusiano wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Palestina lafanyika Tehran
Dec 23, 2023 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Palestina linafanyika leo mjini Tehran kwa lengo la kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
-
Iran yakosoa msimamo wa Russia kuhusu visiwa vitatu vya Jamhuri ya Kiislamu
Dec 22, 2023 22:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia kwamba, Tehran haiwezi kufanya majadiliano na mashauriano yoyote juu ya mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na waziri mwenzake wa Afrika Kusini, Ghaza maudhui kuu
Dec 20, 2023 23:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Afrika Kusini na kujadiliana naye masuala mbalimbali muhimu ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa na hasa vita vya Ghaza huko Palestina.
-
Iran yatuma vikosi na zana za kijeshi katika mpaka wa kaskazini
Dec 18, 2023 07:41Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Iran ametangaza habari ya kutumwa wanajeshi na zana za kivita katika mpaka wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ili kupiga jeki operesheni za kukabiliana na makundi ya kigaidi yalioazimia kuvuruga usalama wa taifa hili.
-
Meja Jenerali Salami: Hakuna nchi yenye ujasiri wa kuishambulia Iran
Dec 14, 2023 23:28Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Hivi sasa hakuna nchi yenye ujasiri wa kushambulia taifa na ardhi ya Iran.
-
Iran na Saudia zataka vita dhidi ya Gaza visitishwe mara moja
Dec 13, 2023 08:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na mwenzake wa Saudi Arabia wamesisitizia udharura wa kusimamishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza haraka iwezekanavyo, sambamba na kutaka kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina lililo chini ya mzingiro.
-
Tehran yalaani vikwazo vya EU dhidi ya Wizara ya Ulinzi ya Iran
Dec 12, 2023 23:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea vikwazo Wizara ya Ulinzi ya nchi hii kwa madai bandia kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeipa Russia ndege zisizo na rubani (droni) eti kwa ajili ya kutumika vitani huko Ukraine.