-
Droni za Karrar zilizoboreshwa zajiunga na Kikosi cha Anga cha Iran
Dec 10, 2023 06:00Makumi ya ndege zisizo na rubani (droni) aina ya Karrar ambazo zimeboreshwa na kuimarishwa zimejiunga na Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Raisi: Kimbunga cha al-Aqsa kimepanua mipaka ya muqawama
Dec 10, 2023 00:31Rais wa Iran amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imepanua mipaka ya muqawama na kuufikisha katika kona zote za dunia.
-
Rais wa Iran akiwa safarini Russia asisitiza kusitishwa jinai za Israel dhidi ya Gaza
Dec 07, 2023 23:49Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kusitishwa mara moja jinai za Israel za "mauaji ya kimbari" dhidi ya Wapalestina Ukanda wa Gaza.
-
Kanani: Baadhi ya wanachama wa G7 ndio chanzo kikuu cha kukosekana utulivu Asia Magharibi
Dec 07, 2023 10:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, baadhi ya wanachama wa kundi G7 ndio chanzo kikuu cha ukosefu wa amani na usalama katika Magharibi mwa Asia na duniani.
-
Iran: Israel inawajihiwa na siku za kutisha kutokana na majibu makali ya muqawama
Dec 07, 2023 00:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema wanamapambano wa makundi ya muqawama ya Palestina wameendelea kutoa majibu makali na ya nguvu kwa uvamizi wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, na kwamba mwenendo wa majibu hayo utauweka utawala wa Kizayuni kwenye hali mbaya katika siku zijazo.
-
Raisi: Msingi wa uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ni Katiba
Dec 03, 2023 09:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ndio msingi wa taifa hili kuiunga mkono Palestina na Ukanda wa Gaza ambao hivi sasa unakabiliwa na mashambulizi ya Wazayuni.
-
Iran: Wanyonyaji damu wa Kizayuni wameanzisha upya mauaji Gaza kwa uungaji mkono wa US
Dec 01, 2023 07:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: baada ya kuwaua zaidi ya Wapalestina 15,000, wanyonyaji damu wa Kizayuni wameanzisha duru mpya ya mauaji huko Gaza kwa uungaji mkono kamili wanaoendelea kupewa na serikali ya Marekani.
-
Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel
Dec 01, 2023 03:17Rais Ebrahim Raisi wa Iran hatashiriki mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP28, mjini Dubai kutokana na uwepo wa Rais Isaac Herzog na maafisa wengine wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano huo.
-
Iran yaipongeza Yemen kwa kuwaunga mkono Wapalestina
Nov 30, 2023 23:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza na kusifu uungaji mkono wa Yemen kwa taifa la Palestina, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni umeshadidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake
Nov 30, 2023 00:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika ikiwemo Senegal katika nyuga mbalimbali.