-
Ndege isiyo na rubani ya Karrar yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran
Sep 04, 2023 00:43Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa ndege za ujasusi za Marekani na ndege nyingine za kigeni na kuzitaka kuwa mbali na anga ya Iran.
-
Iran yakosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Kibinadamu la UN
Sep 02, 2023 08:00Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amekosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo.
-
Velayati: Uanachama wa BRICS umevunja sera ya US ya kuitenga Iran
Aug 29, 2023 23:02Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kupewa uanachama Iran katika kundi la BRICS kumesambaratisha sera ya Marekani ya kujaribu kuitenga Jamhuri ya Kiislamu.
-
Raisi: Maadui wameshindwa kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran
Aug 29, 2023 08:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema adui amefeli katika njama zake za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu na dunia, na pia kuwakatisha tamaa wananchi wa nchi hii.
-
Uanachama rasmi wa Iran katika kundi la BRICS; risala na matokeo
Aug 26, 2023 10:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekubaliwa rasmi na kuwa mwanachama wa BRICS miezi kadhaa tu baada ya kukubaliwa uanachama pia katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS
Aug 24, 2023 04:23Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.
-
Raisi: Ushirikiano wa Iran na Algeria ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu
Aug 23, 2023 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azma ya taifa hili ya kuimarisha uhusiano wake na Algeria na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi mbili hizi ni kwa maslahi ya mataifa haya na ulimwengu wa Kiislamu kwa jumla.
-
Iran yazindua droni ya 'Mohajir-10' inayoruka kwa saa 24
Aug 22, 2023 23:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua ndege isiyo na rubani yenye uwezo wa kuruka kwa saa 24 mfululizo bila kusimama.
-
Iran yazalisha bidhaa ya pili ya kimkakati katika sekta ya nyuklia
Aug 22, 2023 22:54Maji mazito ni bidhaa ya pili ya kimkakati ya sekta ya nishati ya nyuklia baada ya uranium duniani na Iran ni moja kati ya nchi tano zinazozalisha bidhaa hii kwa usafi wa hali ya juu kiasi kwamba, nchi nyingi zinatazamia kununua maji mazito ya Iran licha ya vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak
Aug 21, 2023 07:39Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran.